Wazazi mnaowalisha sumu dhidi ya Baba zao, mnajua kuwa baba mzazi ndiye ana kibali cha kumbariki mtoto ili afanikiwe?

Wazazi mnaowalisha sumu dhidi ya Baba zao, mnajua kuwa baba mzazi ndiye ana kibali cha kumbariki mtoto ili afanikiwe?

hakuna baba ambaye hamuhudumii mtoto wake, huyo ni mpumbavu na hufai kuwa baba hata wa panya...

duniani hakuna LAANA wala BARAKA,...hizi imani ni za WAPUMBAVU....

acha kukimbia majukumu yako eti kisa wewe ndo mtoa BARAKA za mafanikio,,.....huo UPUUZI ulitungwa na vizee vipumbavu ili kupata kukubalika kwa ushenzi wao wa kuzaa zaa na kuto kulea watoto wao kwenye jamii......

MAFANIKIO HAYAJI KWA IMANI,....yanakuja kwa VITENDO,....
Nakazia hapa
 
Acheni basi hizi propaganda za uongo uongo aisee.
Ingekua hivyo sidhani kama kungekua na unasikini nchi hii.
Kila baba angembariki mwanae afanikiwe ..

Yaani mnampa baba cheo cha umungu kabisa.
 
Hata Kama Baba hatoi matumizi yoyote Ila usijaribu kumlisha mtoto wako sumu kuhusu ubaya wa Baba yake .

Watoto wote waliokataliwa na Baba zao ni 2% ndo utawakuta wamefanikiwa maisha .

Hakikisha mtoto wako anamjua baba yake mzazi ili akambariki usithubutu kumtenganisha mtoto na baba yake mzazi.

Asante.
Acheni blablaa za kiseng€ ninyi wazazi uchwara wa Kiafrika , mnashindwa kuwajibika kwa watoto wenu ,wanapowakataa mnaanza kuleta longolongo za kisenge za laana uchwara zisizoexist
Acheni upuuzi na ujinga ,ukaribu kati ya mtoto na mzazi unajengwa na mzazi mwenyewe kwa mtoto tangia akiwa mdogo ,love and affection ndio kinachowashinda ninyi wapuuzi wengi , mpo kama mahayawani ,mnazaa na kutelekeza
Swine kabisa
 
Ni ukweli mchungu,
Baba asiye timiza majukumu yake kwa mtoto bila sababu za msingi kama, kupata ugonjwa utakao mfanya ashindwe kuingiza kipato, ulemavu utakao mfanya ashindwe kutafuta kipato au anguko la kiuchumi la ghafla ,huyo sio tu hafai kuheshimiwa na huyo mtoto ,bali hafai kujiita baba wa mtoto huyo.
Baraka za baba kwa mtoto ni kumtimizia mahitaji yake na sio uharo ulio andikwa na mleta mada.
 
hakuna baba ambaye hamuhudumii mtoto wake, huyo ni mpumbavu na hufai kuwa baba hata wa panya...

duniani hakuna LAANA wala BARAKA,...hizi imani ni za WAPUMBAVU....

acha kukimbia majukumu yako eti kisa wewe ndo mtoa BARAKA za mafanikio,,.....huo UPUUZI ulitungwa na vizee vipumbavu ili kupata kukubalika kwa ushenzi wao wa kuzaa zaa na kuto kulea watoto wao kwenye jamii......

MAFANIKIO HAYAJI KWA IMANI,....yanakuja kwa VITENDO,....
Tuishi humu 👆
 
Back
Top Bottom