R Realboynicky Senior Member Joined Mar 31, 2023 Posts 156 Reaction score 296 Oct 9, 2024 #1 Wazazi achaneni na mawazo ya kuwasomesha watoto ili kwamba wakishakua na kuanza kazi waanze kuwagharamia kwa mishahara yao! Kulea watoto ni jukumu la mzazi yeyote alieamua kuanzisha familia na si uwekezaji. Achaneni na hii dhana.😩
Wazazi achaneni na mawazo ya kuwasomesha watoto ili kwamba wakishakua na kuanza kazi waanze kuwagharamia kwa mishahara yao! Kulea watoto ni jukumu la mzazi yeyote alieamua kuanzisha familia na si uwekezaji. Achaneni na hii dhana.😩
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,335 Reaction score 29,114 Oct 9, 2024 #2 Wewe ni mtoto ama mzazi?