Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Halafu ameandika vitu vya msingi siku nyingine anaandikaga pumba sijui hata huwa anafikiria nini (joke[emoji16])
Haya maajabu hayaHalafu ameandika vitu vya msingi siku nyingine anaandikaga pumba sijui hata huwa anafikiria nini (joke[emoji16])
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha ha
ha ha ha haHalafu ameandika vitu vya msingi siku nyingine anaandikaga pumba sijui hata huwa anafikiria nini (joke[emoji16])
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuchaguliwa mke si mchezo
ha ha ha, mkuu ulishakutana na hii changamoto?Au kuna mtu kamsaidia?
Tatizo linakuja pale mkuu unalazimishwa kitu huku roho haipendiTena uzoefu unaonesha wanaotafutiwa wachumba ndiyo wenye kudumu zaidi kwenye ndoa kwa upendo kuliko wanaotafuta wenyewe.
Angalia ndoa za zamani walikuwa wanatafutiwa na walidumu hadi uzeeni,
Kinyume chake ni ndoa za siku hizi watu kutafuta wenyewe wachumba lakini wengi hawadumu kwenye ndoa ,
Na kama wataonekana kuishi pamoja lakini huwa ni kimkanda mkanda tu na kila mtu yuko kivyake ,
Wengine kila mtu analala chumba chake mwenyewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena uzoefu unaonesha wanaotafutiwa wachumba ndiyo wenye kudumu zaidi kwenye ndoa kwa upendo kuliko wanaotafuta wenyewe.
Angalia ndoa za zamani walikuwa wanatafutiwa na walidumu hadi uzeeni,
Kinyume chake ni ndoa za siku hizi watu kutafuta wenyewe wachumba lakini wengi hawadumu kwenye ndoa ,
Na kama wataonekana kuishi pamoja lakini huwa ni kimkanda mkanda tu na kila mtu yuko kivyake ,
Wengine kila mtu analala chumba chake mwenyewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wengine mkuu,wanachaguliwa wasioendana ili usaliti usiweze kutokeaSio kweli sku izi vijana sisi sio wavumilivu Ilo la kuchaguliana sio kabisa...
Ova[emoji41]
ha ha ha huu muda macho yanatazama puaKwamara ya kwanza nimeshindwa kusoma Uzi wako maana si kwa urefu huo..kutokana na kichwa Cha habari naunga mkono hoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni bora kijana afanye maamuzi sahihi ili baadaye asiwe na kisingiziokwahyo vijana wakichaguliwa wakatae!? maana wazazi uliowakusudia hao humu kwa sasa ni 3% tu kma sikosei ndo wako humu
Au kuna mtu kamsaidia?
dah!!!Kuna wengine mkuu,wanachaguliwa wasioendana ili usaliti usiweze kutokea