Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaaa ila mifumo yetu ya elimu na maisha sio friendly kama unavyodhan wewe. Mfano unadhani huyu dogo anaenda shule kwa mguu au akirudi shule anakutana na kipigo sababu kaopoa nyama ilikuwa inaiva jikoni?. Elimu inatengenezewa mazingira, namna watoto wanavyofundishwa IST ni tofauti kabisa hata let's say Feza..Huyu dogo uliemuona kwenye video hii tukimfuatilia sana utakuta babake labda ni li ATHLETE mkubwa USA, si uliona dogo katunga sentence kwanza babake ni jitu la miraba 6 ukute hata ni li football player la NFL au li NBA player la Detroit Pistons , na ukute anasoma shule private na shule private mbele ni very expensive...SOMO NILILOJIFUNZA NI TUTAFUTE HELA KUWA NGUVU WATOTO WAWEZE KUSOMA KAWA STANDARD NZURI..Lakini inawezekana hata hapa Tanzania
Kauli za walimu wa Kayumba "Uelewe ama usielewe hainipunguzii mshahara we endelea kuwa mvivu"Nimempenda huyo teacher yupo friendly sana,ana kauli nzuri sana kwa mtoto na kumpa hamasa pia
Sasa njoo kwa maticha wa kayumba!!!
HahahaKauli za walimu wa Kayumba "Uelewe ama usielewe hainipunguzii mshahara we endelea kuwa mvivu"