Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
We unaleta Tu taharuki, sioni cha ajabu hapoShule ya Sekondari ya Mazinge (Mazinge Secondary School) ipo katika Mkoa wa Shinyanga, Wilaya ya Shinyanga Mjini (Shinyanga MC), kwenye Kata ya Ndembezi.
Ni shule ya serikali ya mchanganyiko (wavulana na wasichana) kwa ngazi ya Kidato cha Kwanza hadi cha Nne (O-Level) yenye namba ya usajili S3415.
Wanafunzi wake ndio kama hivyo , mauno kama yote, wazazi wapo wanauza mchicha na dagaa kusomesha wakata mauno
View attachment 3676164
Shetani anaweza kumshangaa ibilisi?We unaleta Tu taharuki, sioni cha ajabu hapo
OMG, tunaelekea wapi sasa!Ah..ah..hivyo tu, bado hujaona
Sasa na P-2 zigawiwe.Si freedom hiyo?
Kabisa nacheza kikawaida kabisa kama Msichana wa kike na amevaa vizuri wala hajashikana mikono na mtu, kwangu Mimi sioni kosa kabisa, na ninaonekana ni siku ya shereheHamna cha ajabu hapo ,kwa mwanamke ni kawaida sana kucheza , hucheza mitindo mbali mbali .
Huyu mwanafunzi hajavuka mipaka .
Vumbi limechafuka kwa vumbiShetani anaweza kumshangaa ibilisi?
Mipaka ni kuvua chupi?Hamna cha ajabu hapo ,kwa mwanamke ni kawaida sana kucheza , hucheza mitindo mbali mbali .
Huyu mwanafunzi hajavuka mipaka .