Uchaguzi 2020 Wazazi tulaani kitendo cha watoto wetu kukoseshwa masomo na kutumiwa kisiasa

James Martin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2016
Posts
1,206
Reaction score
1,509
Kampeni za mwaka zimeingia hatua mpya ya kuwalazimisha watoto kujiingiza kwenye kampeni za kisiasa. Mambo hayo yametokea huko Bukoba baada ya wanafunzi kushinikizwa kusimama barabarani kuupokea msafara wa mgombea wa CCM. Mimi kama mzazi nikigundua mwanangu kesho atakosa masomo kwa ajili hii nitamuamuru akae nyumbani ajisomee na kucheza na wenzake.

 
Tunalipa kodi ili ipatikane fedha ya elimu bure, halafu watoto wetu wanatolewa shuleni na kupelekwa kwenye mambo ya siasa badala ya kupata haki yao ya msingi ya kusoma.

Na wengi wa watoto hao hata umri wa kupiga kura hawajafikia.

Hao walimu wachukuliwe hatua kwa kuchezea kodi zetu.
 
Sii Afadhali hawa barabarani .sasa ndioo wanao jaza vichwa kwenye inayoitwa mafuriko ya Magu
Washenzi kweliii kwelli na heri ya hao wa barabarani .sasa hivi ni uwanjani ndioo kinachoitwa mafuriko ya Magu
 
Chadema mtatunga kila uongo ila Watanzania wamewakataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…