Wazazi tunapitia magumu mno katika malezi, watoto wana mbinu ovu

Wazazi tunapitia magumu mno katika malezi, watoto wana mbinu ovu

Mama Edina

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
850
Reaction score
2,019
Kila mzazi anachukizwa na tabia ya watoto kujiingiza kwenye mahusiano ya kimapenz shueni. Watoto wawapo shuleni hasa kizaz hiki wanakuwa na wapenzi wao. Wengine wanakuwa ile kimakuzi tu ni mpenz na wanashare chakula, na upendo ila si kimahaba kama ilivyo miaka hii. Hivi sasa watoto kwanza wana simu. Wanawasiliana na wanakutana kuzanghambuana kwenye vichaka.
1000214711.jpg

Ni wakati ambao watoto wanapoteza usichana wao wawapo shuleni. Tena watoto wa kike wanataka wenyewe.

Mambo yanayoendelea masculinity ni mambo ya ajabu sana, kwamb kila mtoto hakosi kavulana na walimu wanajitahidi kukata mahusiano hayo inashindikana ktk mazingira ya nyumbn wazaz tunakuwa busy watoto wanazanghambuana majumbani mwetu.

Serikali yangu tukufu ifanye jambo...na isipofanya jambo kizazi kitazama kitatokea jamii ya ajabu kuwahi kutokea hapa ulimwenguni.

Kama serikali ilivyoweka sheria kali kwa wabakaji wa watoto na kufungwa miaka 30. Watoto wa kiume wawekewe sheria kali zaidi ya miaka 30.

Watoto wanasex wao kwa wao na watoto wa kike hawako salama wawapo shuleni.

Ndugu wazazi wenzangu watoto wanatengeneza pair boyfriend na girl friend shuleni and then anasingiziwa walimu kumbe watoto wanadinyana kwa 190% wao kwa wao. Hii jambo lipo kwa kias na linafanyika kwa kasi ya umeme. Watoto wetu asilimia 100 wanaosoma boarding washanajisiwa. Wapo ambao wanafanyana kinyume ili kuepusha kuondoa usichana, wanathubutu kutumia njia ya haja kubwa ili alinde uke wake..hii ni hatari sana. Amkeni amkeni amkeni ndg wazazi na wasamalia wema. Shule zote zote nchini zipo katika dimbwi hili la ngomo shuleni
 
Kila mzazi anachukizwa na tabia ya watoto kujiingiza kwenye mahusiano ya kimapenz shueni. Watoto wawapo shuleni hasa kizaz hiki wanakuwa na wapenzi wao. Wengine wanakuwa ile kimakuzi tu ni mpenz na wanashare chakula, na upendo ila si kimahaba kama ilivyo miaka hii. Hivi sasa watoto kwanza wana simu. Wanawasiliana na wanakutana kuzanghambuana kwenye vichaka.
View attachment 3141127

Ni wakati ambao watoto wanapoteza usichana wao wawapo shuleni. Tena watoto wa kike wanataka wenyewe
Hizi zama ni ngumu sana kumdhibiti mtoto, kilichopo ni kumuelimisha tu madhara ya ngono za utotoni na kumuombea.
 
Kuna wakati ukikaa na madogo walivyo innocent unawaangalia tu na kichwani unawaambia "mngejua yajayo mbele yenu".

Sijui hata tutumie mbinu gani kimalezi, hali ni ngumu, vibinti vikigonga 10yrs tumbo linaanza kuuma, maana any time T kazi inaanza.
 
Utawafanyaje hormone zishawapanda na wamepevuka?
Kikubwa ni kuwapa elimu ya ngono salama na elimu ya maadili.
Hakuna anaependa ila shida ni mazingira na mlundikano wa hormone mwilini unawapelekesha.mtu asie na elimu anaweza kudhani wanajiendekeza,ila sio kweli.

Kikubwa kama una mtoto anabalehe kaa nae.mpe msimamo wako kama mzazi.mwambie Fulani umri wako halali wa kuanza kujihusisha na mapenzi ni ukifika miaka 18.maybe atakutii
 
Hapo kwenye kutii sasa ndio mtihani ulipo, kizazi cha sasa utiifu ni zero ni wachache sana wanaosikiliza na kutii wanayoaswa na wazazi wao.
 
Ni vizuri watoto wako ukawapa ELIMU kuhusu mahusiano .

Maana mtoto kumiliki simu sio tatizo Ila tatizo ni matumizi yake .

Simu Ina faida Sana na MTU kuanza kutumia simu akiwa mdogo faida zake ni kubwa Sana .

Simu ni office zama hizi mfundishe mtoto wako hilo swala .

Kitendo cha watoto kuwaza ngono muda wote ni kwasababu hawana kitu cha kuwaweka busy.
 
Ni watoto wa kike wao wenyewe wanambinu za ajabu kuwahi kutokea
Kwanza Sasa Hivi ka binti kakikutaka kanasema hakasomi ama kameishia form 4 mizagamuo miwili ndo kanasema na kanaomba ukanunulie smart. Aisee haviogopi umeoa una familia kwao hiyo haipo wanachojari Hela na kutoka out!

Visa ni vingi sana asee
 
Hapo kwenye kutii sasa ndio mtihani ulipo, kizazi cha sasa utiifu ni zero ni wachache sana wanaosikiliza na kutii wanayoaswa na wazazi wao.
Mungu atasaidia.kikubwa mpe elimu ya kujitambua.
Imagine mtoto ana smartphone anaweza kujiweka porno mda wote anaangalia,juzijuzi wamefukuzwa shule Fulani wanajipiga picha za uchi na kusambaza.malezi magumu.
 
Sister Abigail sorry unaweza uka mwelekeza kila kitu mtoto ila bado anaenda kufanya, kitaalamu tutaitaje hii kama
sio kujiendekeza?
[/QUOTsio kujiendekeza.ni kukosa utiifu.akiwa chini ya miaka 18 mtoto ni wako,bado hajafikia umri halali. Akifika 18 mwachie Sasa hata ukiskia Yuko kwenye mahusiano haina shida.
Ndo mana wazazi wengine wanatoa kichpo heavy.ila sio sawa.

Kama Kuna kitu kinanitoa jasho basi malezi ya mateenager.mie mwenyewe ya mdogo wangu yalinishinda,now yupo Kawa mkubwa na kashaexperience Dunia vya kutosha.ana Maisha yake huko.nashukuru tu ni mzima wa afya basi.
Nashukuru enzi zangu kujitambua kulikuwepo
 
Tatizo linaanzia hapa Wazazi mnawaona watoto ni wadogo Sana kujifunza kumuogopa Mungu.

Mtoto anamiaka mitatu minne ajifunze kuhusu Mungu na sala ndogo ndogo.Lakini itakapoonekana ni upuuzi kufanya hivyo Shetani haangali ni mtoto, kipindi wewe unasema yeye ni mdogo bado Shetani atamfundisha mambo ya mapenzi na Ushoga kupitia Katuni na wanafunzi wengine anaokutana nao mashuleni.

Huo umri unaousubiri afike Ili umkuze kwenye Imani ukifika tayari Shetani ameshamkomaza kwenye maovu.
 
Back
Top Bottom