Wazazi tunapitia magumu mno katika malezi, watoto wana mbinu ovu

Huu ni uongo kwa hiyo waliozaliwa zamani walikuwa hawana homoni???,tatizo hapa ni kwenye sheria wasimamizi wa sheria ndio tatizo.
 
Nilimwambia mwanangu ukisex utakufa ..bas anaogopa sana
 
Dada wa kazi akajifislcha akasex na jirani mwanangu akasema alimkuta dada anasex...mwez sasa mbona hafi?


Nisaidieni niweke maneno gani hapo asistukie
 
Kumfikisha mtoto utu uzima hadi ajitambue inahitaji kujitoa mno. Sacrifice yake sio ya kitoto. Nilipokuwa kwenye early 20s nilishangaa sana Uncle wangu alipoacha kazi nzuri nje ya nchi iliyokuwa inampa zaidi ya 20m kwa mwezi ili arudi kukaa karibu na mwanae wa kwanza wa kiume aliyekuwa teenager. Yule dogo alishaanza kuwa hatari na mama alishamshindwa. Uncle alipambana sana hadi mwanae akamaliza chuo kikuu. Kwa sasa katulia ni mtu mzima.

Kuhusu watoto kupenda mapenzi kiukweli ni suala gumu pia. Tulipokuwa O - level kuna wenzetu tukiwa kwenye mtihani mtu anajikuta anapiga bao. Yaani kasheshe. Enzi za balehe mnara unakuwa wima hovyo hovyo mno. Tuliwekewa sana mafuta taa kwenye maharage ili kupunguza ukubwa wa tatizo.
 
Kulingana na maisha ya sasa baba na mama wote ni watafutaji muda wa kuwa na watoto haupo mabint wa kazi kadhalka ni mtihani

Na tukipewa mashtaka ya wanetu tunaona wanasemwa vibaya bila kuchunguza mtoto anaona wazazi wapo upande wangu majirani wataacha kukuambia hata wakimuona anafanya mambo ya tofauti.

Watoto wa sasa ukisema umfukuze jua wapo watakao mpokea siyo zamani mtu akiambiwa anafukuzwa analia sana maana hajui nani atampokea kwakuwa jamii yote inapinga anachokifanya
Pia watoto wa sasa ni wadadisi ukiwaambia jambo nikama umemwambia akalifanye

Kwakweli mambo na sababu za maadili kushuka kwa wanetu ninyingi na nyingine zinatuhusu wazazi maana sisi ndiyo tunawataka mabint washule
Kiujumla jamii yote imeharibika

Yote kwa yote jamii iungane tuwe na kampeni ya mambo ya kimaadili tukisema hili hapana liwe hapana kwa wote siyo hapana kwangu ili kwako ndiyo hapo ndiyo ukimkataza wewe atakuambua baba/mama mbona fulani wazazi wake wanamruhusu kuhusu jambo hilo ukimfukuza ataenda huko anapoona imekuwa ndiyo
So jamii kama jamii kwa ujumla wetu tushikamane wazazi kwa walezi, majirani kwa wapita njia kulingania maadili ya jamii kwa ujumla.
 
Kama tunachukizwa na kuumizwa na haya tuungane kwapamoja kulaani na kukataa kwa pamoja tuwe na kauli moja juu ya malezi ya jamii
 
Ndio maana mnaambiwa acheni kujistress kulipa mamilioni kusomesha watoto wenu kwenye shule za EMs
 
We unashaurije? Nitembee natangaza kuwa nna HIV hivo nahitaji mwenyewe HIV mwenzangu ili tusex?
Tumia kinga usimuambukize mtoto wa watu, acha uuaji. Kwanza huo ni ubakaji kutembea na mtoto mdogo
 
Kuna mwalimu mmoja alikuwaga anaingia form three kipindi tupo form three eti anawapiga biti wasichana anasema msichana atakae tongozwa aje aseme kwake amseme aliyemtongoza.
 
Mama Edina wewe hauna mtoto wa kiume?
Utajisikiaje mtoto wako wa form 2 akihukumiwa kufungwa jela miaka 30 kwa kumpea mimba msichana anaesoma nae?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…