Wazazi wa Azory Gwanda wamuomba Rais Samia asaidie kupatikana kwa mtoto wao

Ok ,ok
 

Serikqli haiwezi kuachiwa kuuwa watu au kushindwa kuwalinda na kuachwa bIla kuwajibishwa vile vile.

Kwamba isiwajibishwe Kwa kina Azory, Ben, Lijenje, Lissu au wale wa kwenye viroba?

Kama ndivyo si wataendelea kutuuwa tu?

Vipi wewe ni mmoja wao? Kulukoni kutuona manyani ndugu?
 
Alimpoteza kama alivyofanya kwa Ben na alivyojaribu kwa Lissu
Azory Gwanda aliuliwa na magaidi baada ya kusalitiwa na magazeti ya Kenya. Mnakumbuka alikuwa freelance journalist mtaalamu wa breakingnews magazeti ya Kenya. Kila UAMSHO wakimuua kada wa CCM au polisi, Azorygwanda analipwa nono na magazeti ya Kenya, huku ukumbuke kuwa CUF na CHADEMA walikuwa hawauliwi hata kama ni madiwani. Ndipo Mbunge Mnyika akasema "CCM wamejitakia". Baada ya kamanda mmoja wa polisi kusema "sasa basi, polisi hatutakufa tena", ndipo magazeti ya Kenya yakaanza kuwasaliti magaidi na kuwataja majina yao polisi ndipo azorygwanda akauliwa. Hapa wa kuulizwa ni CHADEMA (Mnyika) alikuwa ana maana gani kusema CCM walijitakia, na magazeti ya Kenya kwa kuwalipua magaidi kwa polisi.
 
Kazi chafu za Magufuli hizo. Alidhani yeye ataishi milele
Bashite, msimamizi wa kile kikosi cha watekaji bado yupo. Huyu alistahili kukamatwa aeleze watu wote waliowateka wapo wapi. Kama waliwaua, mufupa yao iko wapi?
 
Alikuwa mwandishi wa Habari wa Mwanachi. Alipotea wakati akiwa kwenye shamba Leke huko Mkiru.
Alchukuliwa na watu waliojitambulisha kwake kuwa ni polisi. Aliondoka kwa kuambatana nao, hakuonekana mpaka leo.
 
Alaniwe Jiwe na wote aliokuwa anawatuma.
Hayo ndiyo mafanikio makubwa anayojivunia Bashite wakati wa utawala wa JPM, kuongoza kikosi cha watekaji na wauaji wa wote wote waliokuwa wanakosoa watawala.

Alaaniwe Bashite na wote aliokuwa anashirikiana nao.
 
Moja wa maprofesa wapuuzi kuwahi kutokea duniani
 
Kila mmoja akiwa na mawazo ya kutaka rais afanye kazi ya kuwatafutia ndugu au wapendwa wao waliopotea huoni kama ni upuuzi huo?
Wazee wamechoka sana nyumba mbovu wanayoishi,inaonekana Azori Ngwanda alikuwa hawajali wazazi wake

Nikiangalia Jumba la kifahari alilojenga MBOWE kwa ruzuku zisizohojiwa angethubutu kutoa 0.5% ya fedha alizojengea hilo Jumba akawajengea hao wazee ingekuwa njema sana,lakini GAIDI MBOWE hana habari wewe mwandishi wake na chawa mkuu unaogopa kumgusia hilo
 
Ni hatari sana kuingia JF ukiwa umelewa
 
Kazi chafu za Magufuli hizo. Alidhani yeye ataishi milele

Unapakatwa na magufuli mkuu,kwani si keshakufa!!!kwanini tusimjue mhusika kwa uchunguzi!!!

Mwambieni mama yenu aliyekufa ni magufuli peke yake wengine wote wapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…