Wazazi wa Azory Gwanda wamuomba Rais Samia asaidie kupatikana kwa mtoto wao

Wazazi wa Azory Gwanda wamuomba Rais Samia asaidie kupatikana kwa mtoto wao

MLETENI TUMUUE....!

1.kulia ni Kibaka machachari Mkoani Arusha,Mkazi wa Unga limited anaitwa ALLY DANGOTE (19)

Kushoto ni Kibaka mwenzie Hashim Kibwerezi

2.Alikamatwa baada ya mtego wa Polisi Jamii wa mitaa mitatu ya
1.Polisi Jamii wa Kwa baniani
2.Polisi Jamii wa Kanisani
3.Polisi Jamii wa Tindigani

3.Walipowakamata wakawapeleka kwa mwenyekiti wa Mtaa Bw. Abubakar Seif.

4.Mwenyekiti wa mtaa Bw. Abubakar Seif akawapeleka Polisi kituo cha kati Arusha na kuwakabidhi wakiwa wazima wote wawili.

5.Jioni ya leo ndugu walijulishwa kuwa waende wakachukue Maiti zao monchwari.

6.Wananchi wamemimika Chumba cha Kuhifadhia maiti wanaingia na Kuhakikisha kama Kweli ALLY DANGOTE amefariki.

Duuuuhhhh kuua imekuwa kazi nyepesi Kiasi hiki..? Mbeleni italeta shida tu kujua yupi Jambazi yupo siyo Jambazi kwa hao wanaojua Kuua.

Binafsi naona bora wangeuwawa na wananchi wenye hasira kali kama kweli ni wauaji au watu hatarishi kuliko kuhalalisha polisi Kuua watuhumiwa.

SO SIMPLE YANI,HAKUNA NOMA.View attachment 2821263View attachment 2821264

Sent using Jamii Forums mobile app
Walitenda kosa gani!?
 
Duuuuhhhh kuua imekuwa kazi nyepesi Kiasi hiki..? Mbeleni italeta shida tu kujua yupi Jambazi yupo siyo Jambazi kwa hao wanaojua Kuua.

Binafsi naona bora wangeuwawa na wananchi wenye hasira kali kama kweli ni wauaji au watu hatarishi kuliko kuhalalisha polisi Kuua watuhumiwa.
Ni hatari polisi kuua hivi. Kesho watamchukua mwanachama wa chadema/act na kumuua kwa vile ana mtazamo tofauti na Samia! Hii siyo sawa
 
Aliandika makala ya kiuchunguzi kuonesha jinsi watu walivyokuwa wakiuawa hovyo huko Kibiti kwa kuhisiwa tu kuwa ni magaidi.
Umesahau? Nakala zake zote ni breakingnews kila alipouliwa Polisi au Kada wa CCM, anazitoa kwenye magazeti ya Kenya analipwa donge nono. Mbunge Mnyika akasema " CCM wamejitakia, bila ya kufafanua. Hawo waliokuwa wanauliwa kimyakimya ni baadaye (wakati huo Azorygwanda alishakufa) ndiyo walikuwa magaidi wa UAMSHO wenyewe wanakimbilia misikitini. Ni wakati huo huo kama itakumbuka viongozi wao kule Zanzibar wakawekwa ndani na Rais Salmin ugaidi si ndiyo ukakoma? Umewasikia hivi karibuni? Hakuna tena, walienda Msumbiji.
 
Back
Top Bottom