Wazazi wa Azory Gwanda wamuomba Rais Samia asaidie kupatikana kwa mtoto wao

Walitenda kosa gani!?
 
Ni hatari polisi kuua hivi. Kesho watamchukua mwanachama wa chadema/act na kumuua kwa vile ana mtazamo tofauti na Samia! Hii siyo sawa
 
Aliandika makala ya kiuchunguzi kuonesha jinsi watu walivyokuwa wakiuawa hovyo huko Kibiti kwa kuhisiwa tu kuwa ni magaidi.
Umesahau? Nakala zake zote ni breakingnews kila alipouliwa Polisi au Kada wa CCM, anazitoa kwenye magazeti ya Kenya analipwa donge nono. Mbunge Mnyika akasema " CCM wamejitakia, bila ya kufafanua. Hawo waliokuwa wanauliwa kimyakimya ni baadaye (wakati huo Azorygwanda alishakufa) ndiyo walikuwa magaidi wa UAMSHO wenyewe wanakimbilia misikitini. Ni wakati huo huo kama itakumbuka viongozi wao kule Zanzibar wakawekwa ndani na Rais Salmin ugaidi si ndiyo ukakoma? Umewasikia hivi karibuni? Hakuna tena, walienda Msumbiji.
 
Ukiwa mkubwa.
Mheshimiwa atakuwa amesikia kilio chao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…