Wazazi wa mchumba wa MC pilipili kataeni anayofanyiwa mtoto wenu

MC Pilipili ni Celebrate . usijlinganishe nae. Afu badala ya kuwashauri wazazi umeishia kumwaga nyongo tu. Wazazi washakula chao kilichobaki ni maisha ya MC Pilipili na mchumba wake. Kausha.
 
Pilipili ya MC imemuwasha mleta post..

Amepizi akimfikiria mchumba wa mc pilipili
 
Wanaume wa dar hawapo hivyo Leo nawatetea, huyo ni mshamba mmoja kutoka idodomya
 
Wazazi wapo zao ziwani huko Sengerema hawajui hata kinachoendelea huku mjini!

Ila MC pilipili nae mshambaa sana, kukaa kote DAR hakujamtoa tongotongo za Dodoma!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali. Unapata wapi muda wa kufatilia affairs za watu kiasi hiki. Nasema hivi huna akili. Kama unazo basi hujui kuzitumia ova.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaahaaa[emoji1787][emoji1787]...nakazia

Wagogo pure limbukeni kinomazz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo li MC hoho limesoma na bro wangu...Basi brotha anakwambia jamaa full kiherehere, mdomo juu kama demu, afuu mbea hataree...ukikaa nae dk 5 ni nyingi full kuboa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Let them live their life, ndio namna waliyoamua wao kuendesha maisha yao, it's up to them.
 
Huyu jamaa ni mshamba nakumbuka kuna kikao fulani cha harusi nilhudhuria mjumbe mmoja akampemdekeza jina daaah kikao kiliahirishwa kwa yaliyotokea
 
Magufuli kasema akiondoka mtamkumbuka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…