Wanasema kama mzazi ulipitia maisha ya shida sio lazima watoto wako nao wapitie maisha ya shida.Tumeiga uzungu ambao hata wazungu wenyewe hawana.
Wazungu wana restrictions balaa kwa watoto wao.
Sisi tulikuwa pazuri sana kushinda hata wazungu, ni kuchapana fimbo tu ndiyo ilikuwa weakness yetu, ila mambo mengine yalikuwa perfect, top notch kwa kuandaa kizazi chenye impact kwenye future life.
Kwa sasa tumeiga uzungu uliopitiliza. How come mtoto mpaka anakuwa mtu mzima haumpitishi kwenye ka msoto ka kujua maisha siyo lelemama!
Huruma siyo maleziWanasema kama mzazi ulipitia maisha ya shida sio lazima watoto wako nao wapitie maisha ya shida.