Km wewe ni kizazi cha 90s ni sawa kuwa na mawazo kama hayo yako. Na ninaya heshimu. Ila kwa sisi wa 70s na 80s mambo yalikuwa tofauti kabisa. Unauliza nimekuulia wapi. Jibu nimekulia na kuzaliwa DaresalamaaSijajua umelelewa wapi ila hata zamani yangu jirani alikua hawezi kumuadhibu mtoto si wake, tena kua makini na wala sio sifa, mtoto ambaye si wako hujui changamoto zake, unamuadhibu anakauka unaenda kufia jela,
Kila mtu alinde kizazi chake mbona ni rahisi sana.