Sasa hiyo ya kuwachinjia mbuzi zaidi ya 130 Kwa siku moja itaondoa hiyo shida ya njaa shuleni?Ikumbukwe kuwa Wazungu wa Marekani pia wameshatoa mabilioni ya fedha kwa ajili ya lishe mashuleni......
Hapo napo watazuka watu wa kudai hao ni Freemasons, wengine watasema hivyo vyakula vinaharibu akili za watoto!
Wakiambiwa kuchanga watoto wao wale wanasema eti, 'walimu watakula' hatuwezi kuchanga!
Watoto wanakaa na njaa kutwa mzima. Wakifeli walimu hawafanyi kazi!
Afrika is shit hole!
hili swala ni gumu wakristo wamelichukua kwa kuvumilia tu halina win win situation mwisho wa siku tukakubali kutokukubaliana wacha mchinje watu walijaribu kususa kile mnachofanya nyinyi effect zake tunazikumbuka tukawatia hasara watu.Mimi hapa nilipo, ukinikaribisha kwako chakula cha mchana ama ucku, chakula cha halali na mnyama amechinjwa na muisilamu nitakula bila hofu yoyote. Na hata ukiniretea sadaka ya nyama almuhimu imechinjwa na muislamu hakuna shidda nitapokea kwa mikono miwili nitakula bila shidda.
Hiyo kuchinjiwa siku itawasidia nini? Ujingaujinga tu.Basi wafe na njaa tu
hili swala ni gumu wakristo wamelichukua kwa kuvumilia tu halina win win situation mwisho wa siku tukakubali kutokukubaliana wacha mchinje watu walijaribu kususa kile mnachofanya nyinyi effect zake tunazikumbuka tukawatia hasara watu.
lakini si busara sana kula unachojua ni sadaka ya wengine usiojua madhumuni yao.
natamani ungetofautisha uisilamu na uaarabu ingekaa sawa! kusudi la sadaka yao hawa sio kusudi la uisilamu wote bali dhamira yao ya ndani wanaijua wao na sio waisilamu wote. pamoja kuwa hao waarabu ni waisilamu na inaweza kuwa inafuata ibaday a kiisilamu lakini kwa sadaka hii hainadhumuni la waisilamu wote.
hivyo nashauri watoe waisilamu kwa tukio hili na liwe waarabu waisilamu na sadaka zao kwa wanafunzi.
Wenzetu wa mlengo huo hawajielewi, wao wanawaza kula tu. Toa msaada ambao utakuwepo na kesho, jenga ukuta au madarasa, au nunua madawati au vitabu.Mimi nashangaa .... Msaada ya siku moja wa wali nyama.... Siku inayofuata watoto wanakwenda haja kubwa wanatoa kila kitu.... Sioni hata Kama ni kitu tangible kwa jamii yetu kwa sasa. Huko majumbani kwa wanafunzi wanakula wali nyama na wazazi wao japo Mara moja kwa wiki.
Wapatiwe msaada kwa kile ambacho kweli Kama jamii kina faida kwa wengi na kwa muda mrefu Kama kujengewa vyoo na ukuta etc.
😀😀😀 mwisho wa siku tukubali hawa jamaa wametugawa!Kwaiyo ishu hapa ni waarabu co! Wangelikuwa wazungu wenu mcngekereka eti 😁 na misaada yao hao wazungu munaipokea kwa mikono miwili eti! 😁
haya bwana,,endeleeni kuamini hivyo,,,ila mjuwe waarabu hawana huo ujinga wa kutoa watu kafara kama wafanyavyo hapa,, hawana nia mbaya kwenye utoaji wa sadaka, hizo ni imani zenu zinawa2ma muwafikirie ivyo,,,na waarabu tumekuwanao, tumeishinao karne na karne.
🤣🤣🤣🤣 ninyi si ndio mna leseni ya kuua (wanafanya hivyo kwa ajili ya mahusiano na jamii tu) kwangu nafuga nyati nafikiri nikualike uje mchinje!Kuna wakristo hawali nyamafu,,,kuku, mbuzi, ng'ombe n.k atampelekea muislamu amchinjie, na co mkristo. Allaahu akbar
🤣🤣🤣🤣 ninyi si ndio mna leseni ya kuua (wanafanya hivyo kwa ajili ya mahusiano na jamii tu) kwangu nafuga nyati nafikiri nikualike uje mchinje!
Kumbuka huo ni msaada hujatoa hata senti yako hivyo ni hiari yako kupokea au kukataa lakini sio kumpangia anayetoa msaada ni kipi cha kukufanyia, ni issue ndogo ila mnaikuza kama kuna waliyolazimishwa kula.Kaka wamekula siku moja wameenda toilet kesho nani atawapa tena nyama ya mbuzi? Ungekua ni msaada endelevu hata kwa miaka5 sawa.
Ukuta unakaa miaka mia kaka,hao wazazi wanawaza mbali
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mwarabu huko Rufiji aliambiwa na mwindaji baada ya kumjeruhi Nyati awahi amchinje alitukana matusi yote! chezea kifo!Nialike mkuu nimchinje kisha tumle kwa pamoja 🤣🤣🤣🤣
Mwarabu huko Rufiji aliambiwa na mwindaji baada ya kumjeruhi Nyati awahi amchinje alitukana matusi yote! chezea kifo!
Mkuu huo ni msaada tu ni hiari ule au uache ila sio akili kumpangia mtu kwa pesa yake akufanyie nini.Hao wenzako wanajali sana kulakula, wanafundishwa hadi namna ya kufinyanga tonge.
Miaka nenda rudi hawana akili
Leo hii 2022 unaenda eti kutoa msaada wa nyama? Nyama?
Watu wanataka wajengewe madarasa, wapewe madawati. Hizo nyama watakula majumbani mwao
Au wapewe mashine za kufyatua matofali ili wajenge kuta wazitakazo maana si ndio kipaumbele chao ukuta.kwanini hizo mbuzi zisitolewe nzima nzima kwa hiyo shule na shule ikawa na mradi wake wa kufuga mbuzi..
Halafu kitu kingine.... Tokea lini tukaanza kulazimishana kupokea sadaka/ misaada??Ni upumbavu tuu watanzania wa leo sio wale..kwel ufunge safar kuja kutusaidia a single meal seriously?????tena shule mjin???
Ukitafakari kwa undani.... Hupati majibu sahihi.Ni upumbavu tuu watanzania wa leo sio wale..kwel ufunge safar kuja kutusaidia a single meal seriously?????tena shule mjin???
Kama ni kula nyama tumeanza kula nyama toka tunapondewa na mama zetu miezi Tisa huko mpaka sasa.... Na umri tulionao tunaendelea kula nyama.... 🤣😂Hao wenzako wanajali sana kulakula, wanafundishwa hadi namna ya kufinyanga tonge.
Miaka nenda rudi hawana akili
Leo hii 2022 unaenda eti kutoa msaada wa nyama? Nyama?
Watu wanataka wajengewe madarasa, wapewe madawati. Hizo nyama watakula majumbani mwao
Hata huko misikitini nyama huwa inapelekwa sana tu mkuu, na sio nyama tu kuna visima pia n.k kwa kifupi nyama ni sehemu tu ya hiyo misaada kutoka huko kwa hao wenzetu.Kwa nini msipeleke madrassa au msikitini? Au huko kote wana uwezo wa kula nyama?