Sasa hiyo ya kuwachinjia mbuzi zaidi ya 130 Kwa siku moja itaondoa hiyo shida ya njaa shuleni?Ikumbukwe kuwa Wazungu wa Marekani pia wameshatoa mabilioni ya fedha kwa ajili ya lishe mashuleni......
Hapo napo watazuka watu wa kudai hao ni Freemasons, wengine watasema hivyo vyakula vinaharibu akili za watoto!
Wakiambiwa kuchanga watoto wao wale wanasema eti, 'walimu watakula' hatuwezi kuchanga!
Watoto wanakaa na njaa kutwa mzima. Wakifeli walimu hawafanyi kazi!
Afrika is shit hole!
Ni ujuha kuwachinjia wanafunzi ng'ombe 400 na mbuzi 135 Kwa siku moja tena ati sadaka.