Wazazi wakataa sadaka ya kuchinja iliyotolewa na Waarabu, wakidai watoto wao watatolewa kafara

Wa gepeleka kwenye shule za kiislamu au taaisi za dini ya kiislamu zenye uhitaji ili kuondoa utata

Otherwise ni wazo zuri kubadilisha hao mifugo kuwa pesa na wajenge ukuta au wanunue vifaa va kuwafundishia watoto
Hata mimi nawaunga mkono wazazi. Wangebadikisha kuwa pesa ila wao hawataki kwa sababu wanajua wafanyavyo. Sadaka huwa inaendana na madhabahu. Pia sadaka huwa inaendana na kunenewa. Wanataka wawapandikize watoto wa watu mapepo hao hamna lolote. Wenzao wameshtuka.
 
Swala la kuchinja lilishaleta mjadala mkubwa sana na hatuhitaji liendelee kujirudia......tukubali tu kwamba nyama ziwe zinanunuliwa machinjioni au mabuchani ambako kuna vibali na ukaguzi wa mamlaka za serikali.
 
Huwa hao mashehe wanafanyaga hivyo miaka na miaka. Wanatoa sadaka kwa ajili ya sikukuu yao ya kuchinja. Niliona Morogoro mwaka Juzi. Wanachinja wao kisha wanakupa wewe nyama. Sadaka ni suala gumu sana tena linalohusisha Damu kumwagika na chakula. Wazazi wapo sahihi. Wangebadili mifugo kuwa pesa sio kula chakula kilichotolewa sadaka kwa sanamu(allahu). Hapo wanataka kuwafungamanisha na madhabahu huku wakinenea/nuia3 mabaya.
 
Sisi kwetu huku wanatuleteaga tunawaita Ng'ombe wa waturuki tunawala na kusaza na wala hakuna hiyo kitu. Hiyo kweli ni kafara lkn ni ya kwao huko sisi haitudhuru
 

Ili kafara ikamilike Lazima maskini agawiwe nyama
 
Acha kuwa mawazo ya kipumbavu mkuu
 
Wameombwa msaada wajenge ukuta wa shule, nyama kila mtu atakula kwake.
Ila africa Kuna mijitu mijinga sana, Yani unatoa msaada wa nyama? Ukila unaenda chooni kuitoa? Kwa nini wasijenge ukuta au madarasa yatayodumu miaka mingi?
We jamaa ni mjinga sana. Sasa basi tufanye usiwe unakula ili usiende chooni. Eboo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…