Wamesema hawataki nyama, wanataka ukuta
Hao watu walikuja pia shule ya msingi Kimandolu jirani na hiyo ya baraa, walimu wakaita wazazi wakawaambia wazazi waende shule kipikwe chakula na hizo nyama wale woote pamoja na wanafunzi hapo hapo shule.
Wazazi wa kimandolu kwanza wakashangaa why ngombe na km sadaka wangewapa hata daftari na sio kuchinja wakagoma ndo wakaenda huko baraa
Na kuhusu kula shuleni hapo kimandolu watoto wanachanga kila mwezi elfu 10 so wanakula mchana.

Kaka wamekula siku moja wameenda toilet kesho nani atawapa tena nyama ya mbuzi? Ungekua ni msaada endelevu hata kwa miaka5 sawa.Bado kuna washamba wengi mno Afrika [emoji16][emoji16] sasa nyama ina shida gani!!! Wa2 wanashida wanakula mlo mmoja kwa siku wao wanaringa, Wanafikiri wamekuja kwa nia mbaya, kuna watu wana imani potofu dahh.
Ndugu ze2 wamisry wawe makini sanaa kwa hawa viumbe wacojierewa, iyo mboga wanawapa lakinii nahofia wasiende kuitupa tuuu.
Ndio maana mlikimbia shule, Nani ana shida na nyama ya msaada?Huyo SAID ndiye anajielewa,,,hao wengine ni vichekesho.,,,hii nchi inavituko sana,,,,bado wana mambo yakizamani,,,,, Mwarabu/Muisilamu afanye huo ushenzi kweli!!!!! Wangelikuwa makafiri wa kizungu wangehoji hayo!!!!!!!
Wamisry Mungu awabariki sana,,ninyi ni ndugu zetu katika imani, tunawapenda sana. Ushauri wangu tuuu, hiyo sadaka pelekeni misikitini na kwa yatima. Hao achaneninao na walaa musiwabembekeze.
Nyie akili hamna, Leo hii 2022 bado mnahangaika na nyama ya msaada? Kwa nini msijenge madarasa? Ndio maana hamna akiliBado kuna washamba wengi mno Afrika [emoji16][emoji16] sasa nyama ina shida gani!!! Wa2 wanashida wanakula mlo mmoja kwa siku wao wanaringa, Wanafikiri wamekuja kwa nia mbaya, kuna watu wana imani potofu dahh.
Ndugu ze2 wamisry wawe makini sanaa kwa hawa viumbe wacojierewa, iyo mboga wanawapa lakinii nahofia wasiende kuitupa tuuu.
Hao wenzako wanajali sana kulakula, wanafundishwa hadi namna ya kufinyanga tonge.Kaka wamekula siku moja wameenda toilet kesho nani atawapa tena nyama ya mbuzi? Ungekua ni msaada endelevu hata kwa miaka5 sawa.
Ukuta unakaa miaka mia kaka,hao wazazi wanawaza mbali
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kesho asubuhi tunapeleka ngamia 50 kuchinjwa pale shule ya msingi baraa watoto wale nyama ya ngamia na pilau. Karibu sana acha wivu mkuuWangekula usingekuja kutema povu humu, hizo nyama si mpeleke madrassa mle vizuri?
Watakula ukuta?Wamesema hawataki nyama, wanataka ukuta
Daah una hasira mzeeNyie akili hamna, Leo hii 2022 bado mnahangaika na nyama ya msaada? Kwa nini msijenge madarasa? Ndio maana hamna akili
Nyie akili hamna, Leo hii 2022 bado mnahangaika na nyama ya msaada? Kwa nini msijenge madarasa? Ndio maana hamna akili
Ndio maana mlikimbia shule, Nani ana shida na nyama ya msaada?
Daah una hasira mzee
Hao wenzako wanajali sana kulakula, wanafundishwa hadi namna ya kufinyanga tonge.
Miaka nenda rudi hawana akili
Leo hii 2022 unaenda eti kutoa msaada wa nyama? Nyama?
Watu wanataka wajengewe madarasa, wapewe madawati. Hizo nyama watakula majumbani mwao