Hao watu walikuja pia shule ya msingi Kimandolu jirani na hiyo ya baraa, walimu wakaita wazazi wakawaambia wazazi waende shule kipikwe chakula na hizo nyama wale woote pamoja na wanafunzi hapo hapo shule.
Wazazi wa kimandolu kwanza wakashangaa why ngombe na km sadaka wangewapa hata daftari na sio kuchinja wakagoma ndo wakaenda huko baraa
Na kuhusu kula shuleni hapo kimandolu watoto wanachanga kila mwezi elfu 10 so wanakula mchana.