CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
Inatisha.Fikra za kinafiki na kimasikini sana
Acha misaada mbona wananunua kila siku nyama mabuchani?
Halafu watoto wao hao hao wanachanjwa na kupewa madawa je huwa wanahoji madhara na faida zake?
Naona hapo ni udini zaidi hakuna kingine ila wana maamuzi yao pia
kwa muislam kila anachotoa kwa wahitaji ni sadaka; akichimba kisima cha maji watu wachote bure ni sadaka, akichangia damu Hospitali ni sadaka, akichangia mtu ada ya shule ni sadaka, akichangia mtu gharama za matibabu ni sadaka nk nk nk... HIVYO sadaka inaweza kuwa sawa na msaada tofauti ni utaratibu/culture ya anayelitumiaNahis shida hapo ni matumizi ya neno "SADAKA" ndio limewachanganya watu.
Kwa nini msipeleke madrassa au msikitini? Au huko kote wana uwezo wa kula nyama?Wewe huna shida, lakinii kuna watu wanashida mtu anakula nyama mara moja kwa mwezi/mwaka. Ivyo acha kulalamika.
Waturuki, waaarabu wanatoa sana misaada kila mwaka,, na co arusha tuu, kanda ya ziwa, pwani n.k lakinii hawajakataa misaada iyo,,,,,ungelikuwa muisilamu ungeelewa nini maana ya msaada,,,,lakini ata nikikuelewesha kazi bure tuu hutaelewa.
Ilishakudhuru ndiomaana huoni madhara, effect moja wapo ni hivi huna akili tena za kuchambua Mambo.Sisi kwetu huku wanatuleteaga tunawaita Ng'ombe wa waturuki tunawala na kusaza na wala hakuna hiyo kitu. Hiyo kweli ni kafara lkn ni ya kwao huko sisi haitudhuru
[emoji1787]Wengi ni wachanga Sana kiimani.
Kuna shule wazazi waliombwa nguvu Kazi kujitolea kama vibarua kujenga shule wakagoma eti wajitolee walimu kwani wao ndio hulipwa mshahara.
Kwa nini msipeleke madrassa au msikitini? Au huko kote wana uwezo wa kula nyama?
Ilishakudhuru ndiomaana huoni madhara, effect moja wapo ni hivi huna akili tena za kuchambua Mambo.
Suala la sadaka lina affect pande zote mbili,kwa mtowaji na mtolewaji, haijarishi unaamini au huamini.
Hakuna cha bure
Msaada au Sadaka?
Yaani wanyama 131 (Ng'ombe, mbuzi, Kondoo) wanakwenda kuchinjwa mara moja ili kulishwa watoto 2000 tu!
Hii ni sadaka ya kafara inayohusisha kuchinja wanyama. Kiukweli kama mtoto sio wa imani hiyo na akafahamu kuhusu hiyo 'sadaka', busara ni kukwepa kula hiyo kafara.
Shida ni pale unapotumia msamiati flan kutoa kitu ndani ya jamii ambayo wao wanapokea tofauti hicho kitu na natafsiri tofautikwa muislam kila anachotoa kwa wahitaji ni sadaka; akichimba kisima cha maji watu wachote bure ni sadaka, akichangia damu Hospitali ni sadaka, akichangia mtu ada ya shule ni sadaka, akichangia mtu gharama za matibabu ni sadaka nk nk nk... HIVYO sadaka inaweza kuwa sawa na msaada tofauti ni utaratibu/culture ya anayelitumia
Acha uoga wewe nchi imefunguliwa wawekezaji wanamiminika.Waarabu wanakuja kwa kasi sana awamu ya sita kuna nini nyuma ya pazia?
Kwani hizo nyama wamepeleka kanisani au Sunday School?Kwa nini msipeleke madrassa au msikitini? Au huko kote wana uwezo wa kula nyama?
Hawajasema ni msaada, wamesema ni sadaka! Hapo ndo kwenye tafsiri ya kwanini watoe sadaka za kuchinja badala ya msaada?Atii msaada wa nyooko.
Hakuna cha bure dunian, haswa toka kwa haya majitu ya pande zile, ni bora msaada wa beberu la magharibi anakupa bila kujali imani yako, lkn hawa ndugu zenu waarabu uchwara wa kimisri wao wanaona ni bora kumshirikisha kila mtu ktk hizo ibada zao?
Ndio shida ya hawa wenzenu wa imani ya bwana yule, yaan wao huona kuwa jamii zote zinaimani sawa na wao, kuamini kinyume na wao, wanaona si sawa.
Huo msaada ungekuwa bora sana kama usingehusisha imani, kama vip hizo pesa wangechanga badara ya kununua hayo mamifugo et waje watoe sadaka.
Atleast Waafrika wanaanza kufungua akili kwa kukataa hizi imani uchwara za wageni, mwisho wasiku mnaunganishwa na maimani msiyoyajua, mamizimu ya ajabu ajabu, why hiyo misaada isipelekwe kwa wenzao wanaofuata imani za dini hiyo.
Kwisha habar, na hata wakitokea mapadri sjui walokole na wachungaji, Msimamo uwe huo huo hakuna kushiriki ibada za Miungu migeni...
View attachment 2120369
Walk sioni shida kwenye neno sadaka maana kila jumapili kanisani tunatoa sadaka sasa inamaana na sisi tunatoa makafara kila jumapili? NonsenseNahis shida hapo ni matumizi ya neno "SADAKA" ndio limewachanganya watu.
😂😂😂Tatizo ni tafsiri ya jamii yenyewe. Kuna jamii zinaiman kuwa sadaka ya kuchinja inaweza kuwa ni kafara kwa watu baadae, ndio kama hao wananchi sasa.hapo had waelimishwe kwanzaWalk sioni shida kwenye neno sadaka maana kila jumapili kanisani tunatoa sadaka sasa inamaana na sisi tunatoa makafara kila jumapili? Nonsense