Wazazi wakataa sadaka ya kuchinja iliyotolewa na Waarabu, wakidai watoto wao watatolewa kafara

Ni sahihi kabisa. Jana nimesikia clouds fm kumbe Wana mpango wa kutoa misaada /sadaka hizo kwa shule zote za msingi na sekondari wilaya ya Arusha.

Nimeshangaa sana.
Inaogopesha sana kama ni hivo hii agenda yao inahatari Mungu awasaidie kuikataa
 
Mimi nashangaa .... Msaada ya siku moja wa wali nyama.... Siku inayofuata watoto wanakwenda haja kubwa wanatoa kila kitu.... Sioni hata Kama ni kitu tangible kwa jamii yetu kwa sasa. Huko majumbani kwa wanafunzi wanakula wali nyama na wazazi wao japo Mara moja kwa wiki.

Wapatiwe msaada kwa kile ambacho kweli Kama jamii kina faida kwa wengi na kwa muda mrefu Kama kujengewa vyoo na ukuta etc.
Ni upumbavu tuu watanzania wa leo sio wale..kwel ufunge safar kuja kutusaidia a single meal seriously?????tena shule mjin???
 
Sadaka to the needy people, those wazazi of this skuli aren't among the needy, the Arabs have got a misplaced idea with this sadaka of theirs, kafara imegoma wakajipange upya

Kafara waulize ndugu zako katika imani miongoni mwao wanawatoa kafara watoto wao kisa utajiri,,,mwarabu/muislamu hawezi fanya huo ushenzi kama wafanyavyo jamaa zako.

Mnawachukia sana waarabu
 
Inaogopesha sana kama ni hivo hii agenda yao inahatari Mungu awasaidie kuikataa

وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ

Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.

الحمد الله: وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ

Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?

الحمد الله: إِنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا وَمَاتُوا وَهُمْ كُفَّارٌ أُولَٰئِكَ عَلَيْهِمْ لَعْنَةُ اللَّهِ وَالْمَلَائِكَةِ وَالنَّاسِ أَجْمَعِينَ

Hakika walio kufuru na wakafa hali ni makafiri, hao iko juu yao laana ya Mwenyezi Mungu na ya Malaika na ya watu wote.

الحمد الله: خَالِدِينَ فِيهَا ۖ لَا يُخَفَّفُ عَنْهُمُ الْعَذَابُ وَلَا هُمْ يُنْظَرُونَ

Watadumu humo. Hawata-punguziwa adhabu wala hawatapewa muda wa kupumzika.

الحمد الله: وَإِلَٰهُكُمْ إِلَٰهٌ وَاحِدٌ ۖ لَا إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ الرَّحْمَٰنُ الرَّحِيمُ

Na Mungu wenu ni Mungu mmoja tu, hapana mungu ila Yeye. Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.

Sawa..ila wawaelekeze kwenye madrasa na misikiti hao wanao zitaka hizo nyama wakale huko..shuleni hatutaki..tunataka ukuta au maktaba

Nyama tunakula leo kesho tunaenda kunya..faida yake nini.?

#MaendeleoHayanaChama
Sema sitaki,usiseme hatutaki,
Wazungu wengu tuuu mbona wamezila?
Njaa haina mwenyewe
 
Mimi nashangaa .... Msaada ya siku moja wa wali nyama.... Siku inayofuata watoto wanakwenda haja kubwa wanatoa kila kitu.... Sioni hata Kama ni kitu tangible kwa jamii yetu kwa sasa. Huko majumbani kwa wanafunzi wanakula wali nyama na wazazi wao japo Mara moja kwa wiki.

Wapatiwe msaada kwa kile ambacho kweli Kama jamii kina faida kwa wengi na kwa muda mrefu Kama kujengewa vyoo na ukuta etc.

Wapelekee hivyo vitu, au wajengee ukuta na co kupiga kelele wakati unaishinao hapa hapa.

وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ

Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.

الحمد الله: وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ

Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?

الحمد الله: إِنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا وَمَاتُوا وَهُمْ كُفَّارٌ أُولَٰئِكَ عَلَيْهِمْ لَعْنَةُ اللَّهِ وَالْمَلَائِكَةِ وَالنَّاسِ أَجْمَعِينَ

Hakika walio kufuru na wakafa hali ni makafiri, hao iko juu yao laana ya Mwenyezi Mungu na ya Malaika na ya watu wote.

الحمد الله: خَالِدِينَ فِيهَا ۖ لَا يُخَفَّفُ عَنْهُمُ الْعَذَابُ وَلَا هُمْ يُنْظَرُونَ

Watadumu humo. Hawata-punguziwa adhabu wala hawatapewa muda wa kupumzika.

الحمد الله: وَإِلَٰهُكُمْ إِلَٰهٌ وَاحِدٌ ۖ لَا إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ الرَّحْمَٰنُ الرَّحِيمُ

Na Mungu wenu ni Mungu mmoja tu, hapana mungu ila Yeye. Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.
 
Sadaka yoyote huwa ina mahusiano na imani, inategemea aliyetoa anakuwa na malengo yapi

Na ipo tofauti kati wazungu, wahindi, waarabu hata waafrika kutoa sadaka ya chakula na taasisi kama makanisa na misikiti kutoa sadaka ya chakula

Mambo mengi yawe ya nuru au giza huanzia rohoni na kuja kuhitimishwa mwilini
 
Jamaa waooooga kweli,
Ati nyama pia wanaiogopa
Halafu eti wamesoma ilmu dunia,
Kaaaazi kweli kweli,
Nyie waarabu leteni huku mlimani hiyo nyama tule
Hao wameshiba aiseee
 
الحمد الله: وَإِلَٰهُكُمْ إِلَٰهٌ وَاحِدٌ ۖ لَا إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ الرَّحْمَٰنُ الرَّحِيمُ

Na Mungu wenu ni Mungu mmoja tu, hapana mungu ila Yeye. Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.
[/QUOTE]
To hell with ur stuffs which u dnt even understand apart from translating
 
Sadaka ni kwa wahitaji haswaa tena wanafahamika, help the needy people na utabarikiwa those mashule sio needy places, akili simple wajenge mashule na misikiti au barabara au makaravati kama msaada ila sio sadaka, sadaka ni kwa mtoaji na iwe moral within implied as msaada ila si kwa kuchinja mtoa Msaada hio sio, wapeleke sadaka msaada kwenye Muslims schools those are the coherent subject recipient
 
Kafara unaijuwa wewe tuu,,, kwa waarabu/waislamu hicho kitu sijawai kukisikia,,ni huku tuu miongoni mwao wanatoana kafara baba anauwa mwanae au kumchizisha kisa atajirike. Nasema hivi huu upumbafu kwa waarabu/waislamu sijawai sikia mzehe.
unaweza kuwa uko sawa kwa kadri ya imani yako.
hata hao wanaotoa kafara huwa wanajua kuwa wanatoa sadaka na wala hawaoni shida juu ya hilo.
sadaka yoyote inayohusu kumwaga damu huwa ni ya miungu na ni kafara ya wanyama hutolewa wakati mwingine kwa ajili ya kumiliki. haitolewi bila ibada, waumini na dhumuni la sadaka yenyewe la lazima iwe na eneo la kutolea na mtu atakayeitoa hiyo sadaka huko wanakoipeleka. kabla ya kutoa zipo sala na dua zilizoambatana na hiyo sadaka ili kufikia maombi yao kwa zadaka wanazotoa.
wakati mwingine inaweza kuwa sio kafara/sadaka kwa watu kufa ila ikawa kwa watu kunyan'ganywa vya kwao kwa sadaka iliyotolewa.
hivyo wazazi wanayohaki ya kukataa kwa imani yao na sidhani kama ni busara kuendelea kuwa sadaka wanayotoa hawa waarabu ni sawa kwa imani yao ikiathiri imani nyingine.
 
Jamaa waooooga kweli,
Ati nyama pia wanaiogopa
Halafu eti wamesoma ilmu dunia,
Kaaaazi kweli kweli,
Nyie waarabu leteni huku mlimani hiyo nyama tule
Hao wameshiba aiseee

Unaweza ukawa na elimu ya dunia/secular lakini bado ukawa mjinga,,,,mfano wa hao wanaokataa nyama kwa kuhofia eti cjui kafara!🤣🤣 inachekesha sana,, ukiwawekea mtoto wa kiislamu anawatuliza na kuwaweka sawa pamoja na vi-elimu vyao vya mchongo vinavyowapa jeuri 🤣🤣 wao wanafikiri kusoma ni kuelimika ama kustaarabika,,,,
 
tumepoteza vingi na utu wetu kwa wakati mwingine kufikiria leo tu; na ndipo waafrika tulipopumbazika huu mlo wa siku moja itaondoa njaa ya siku zote? lakini maktaba na ukuta inaweza kuleta ufanisi na uelewa kwa wanafunzi ukaondoa njaa ya kila siku
 
Hapa mi naona ishu ni waarabu/waisilamu,,kuna viumbe wacojielewa wanawachukia waarabu bila sababu.

Ingelikuwa walee jamaa zao from Europe wacngepiga kelele, so ishu ni waarabu hapa. Sasa pigeni kele hadi mpasuke na ikibidi mjitie kitanzi mfe kabisa. Mimi huwa nawapa cash cash.
natamani ungetofautisha uisilamu na uaarabu ingekaa sawa! kusudi la sadaka yao hawa sio kusudi la uisilamu wote bali dhamira yao ya ndani wanaijua wao na sio waisilamu wote. pamoja kuwa hao waarabu ni waisilamu na inaweza kuwa inafuata ibaday a kiisilamu lakini kwa sadaka hii hainadhumuni la waisilamu wote.
hivyo nashauri watoe waisilamu kwa tukio hili na liwe waarabu waisilamu na sadaka zao kwa wanafunzi.
 
Watu wana imani tofauti ,wengine hatuli nyama ya sadaka
Same to me, sili chakula au kupokea na kutumia kitu chochote kilichotolewa kama sadaka maana sadaka hua na lengo ndani yake kati ya mtoa sadaka na mungu amtoleae sadaka.
 
unaweza kuwa uko sawa kwa kadri ya imani yako.
hata hao wanaotoa kafara huwa wanajua kuwa wanatoa sadaka na wala hawaoni shida juu ya hilo.
sadaka yoyote inayohusu kumwaga damu huwa ni ya miungu na ni kafara ya wanyama hutolewa wakati mwingine kwa ajili ya kumiliki. haitolewi bila ibada, waumini na dhumuni la sadaka yenyewe la lazima iwe na eneo la kutolea na mtu atakayeitoa hiyo sadaka huko wanakoipeleka. kabla ya kutoa zipo sala na dua zilizoambatana na hiyo sadaka ili kufikia maombi yao kwa zadaka wanazotoa.
wakati mwingine inaweza kuwa sio kafara/sadaka kwa watu kufa ila ikawa kwa watu kunyan'ganywa vya kwao kwa sadaka iliyotolewa.
hivyo wazazi wanayohaki ya kukataa kwa imani yao na sidhani kama ni busara kuendelea kuwa sadaka wanayotoa hawa waarabu ni sawa kwa imani yao ikiathiri imani nyingine.

Haya bwana,,,naona still mnaendelea kupinga tuu 😁😁

Kwa waarabu/waisilamu sina shaka nao, maana cjawahi kuona unyambafu kama wa huku kutoana makafara.

Mimi hapa nilipo, ukinikaribisha kwako chakula cha mchana ama ucku, chakula cha halali na mnyama amechinjwa na muisilamu nitakula bila hofu yoyote. Na hata ukiniretea sadaka ya nyama almuhimu imechinjwa na muislamu hakuna shidda nitapokea kwa mikono miwili nitakula bila shidda.
 
Back
Top Bottom