Si unajua shetani huwa anaingiaga, huwa natoa mkuuNi ajabu mtu unakua mgumu kutoa hadi kwa wazazi wako na uwezo unao. Kuna mda natamani nifanye kitu zaidi kwa wazazi wangu ila uwezo.
Uzuri wa wazazi hata ukitoa kidogo ulichojaaliwa wanapokea kwa moyo wa upendo na kuzidi kukuombea.
Kutoa ni moyo sio utajiri.
Ulipatwa maswahibu kwa sababu ulikusudia kumnyima na uwezo ulikua nao na huenda mama alikua akipitia magumu na pakutegemea ni wewe.Si unajua shetani huwa anaingiaga,huwa natoa mkuu
Vinahusiano mkubwa sana,nitakuambia kitu kwanini we misiba inatokeaga mingi sana lakini ile hali ya kulia haikujii,lakini ukitokea around ndugu zako au wazazi unaumia sana, ni ile nguvu iliyopoKutokumtumia mzazi hela na hayo yaliyotokea havihusiani, ni coincidence tu.
By the way saidia wazazi wanapokuwa na uhitaji na ukiwa na uwezo wa kufanya hivyo bila wewe mwenyewe kuathirika.
Ni ajabu mtu unakuwa mgumu kutoa hadi kwa wazazi wako na uwezo unao. Kuna muda natamani nifanye kitu zaidi kwa wazazi wangu ila uwezo.
Uzuri wa wazazi hata ukitoa kidogo ulichojaaliwa wanapokea kwa moyo wa upendo na kuzidi kukuombea.
Kutoa ni moyo sio utajiri.
Nguvu ipi?Vinahusiano mkubwa sana,nitakuambia kitu kwanini we misiba inatokeaga mingi sana lakini ile hali ya kulia haikujii,lakini ukitokea around ndugu zako au wazazi unaumia sana, ni ile nguvu iliyopo
😄 hapo kwenye michepuko paache tu hivyo hivyo wanakuwaga kama wanakauchawi.Michepuko inakupiga Hela, na Wala haikuombdi , Tena wanakuuliza, unataka nije huko sijaenda Saluni?.
Tuwapende sana Wazazi wetu
Hajasahau sisi tunaotoa maji visimani na mtoniSisi tusio na nyumba za vioo tumepona kwa hili
Usisubiri mpaka uliliwe shida. Jua mahitaji yao na wawe na akiba kidogo.Jamani please wazazi wakikulilia shida wasaidie hasa mama, siku nne zilizopita bimkubwa alifululiza kunipinga mizinga, juzi nikamkaushia, nikamwambia sina, ukweli nilikuwa nayo, nikaondoka zangu kwenda kwangu, kufika home nikasikia kunguru wanalia sana nyuma ya nyumba, kwenda kucheki kulikuwa na kenge.
Dah nikaokota jiwe kumpiga nalo, jiwe likaenda moja kwa moja kwenye kioo cha dirisha bwaaa kikavunjika, natoka kurudi kulikuwa na pipe ya maji sijui niliikanyaga, ikapasuka ikabidi nimuite fundi akala 15000, kioo 60000 zikanitoka, faster nikaenda kumtumia mother hela yaishe.