Wazazi wakitengana huwaacha watoto ni nusu mayatima..

Wazazi wakitengana huwaacha watoto ni nusu mayatima..

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
5,715
Reaction score
13,739
Hili limekuwa ni tatizo japo watu wengi kwenye jamii hawalitambui kabisa, ishu ya wazazi kutengana inaweza kuwa ni kuachana tu kwa kupeana taraka.

Imefanya watoto wanaochwa kukosa utetezi, na mwisho wa siku hupitia mazingira magumu kufikia ukuwaji wao.
 
Kivipi?

Mbona utaratibu wawezafanyika vizuri tu na watoto wakalelewa Upande mmoja kwa hekima?

Kuliko wawili wakalazimisha kuishi pamoja bila upendo Pengine wakadhuriana?!
 
Imefanya watoto wanaochwa kukosa utetezi, na mwisho wa siku hupitia mazingira magumu kufikia ukuwaji wao.
Kwa taarifa yako watoto hawa ndiyo hutoboa kwenye maisha. Watoto wanaolelewa na baba na mama hawana maajabu. Nakuja na uzi kuhusu suala hili.
 
Back
Top Bottom