Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Kwa taarifa yako watoto hawa ndiyo hutoboa kwenye maisha. Watoto wanaolelewa na baba na mama hawana maajabu. Nakuja na uzi kuhusu suala hili.Imefanya watoto wanaochwa kukosa utetezi, na mwisho wa siku hupitia mazingira magumu kufikia ukuwaji wao.