Wazazi wako walikuonyesha mapenzi kihisia au walitimiza majukumu yao ya kimsingi kama chakula, mavazi, na makazi basi?

Tatizo unawaza kukojoa tu,unajua hisia wewe,yaan mapenzi Yale indeep...
Ndivyo tunavyowapenda wanetu...
Yaan zile hisia za ndani kabisa...aisee,sikia tu..watoto 😘😘😘
Utapeli tu huo. Indeep ili iweje?! Haya malezi ya 'mapenzi Yale indeep' kwa watoto ni gani?
 
Haya mpwa, tuzungumzie basi mauntie tulikuleaje?
Tokea mdogo nimekulia kwa aunt vitimbi visirani vingi kutoka kwake lakini baadae alibadilika na nikamzoea.
Aunt ni mtu mwenye upendo sana sana yani sana afu kanifundisha kujituma na kujitegemea, anakwambia yeye kwake msosi ni mavi hawezi kumnyima mtu msosi pale nilikua naishi poa sana narudi mda naotaka. Lakini wale wanae doh! those bastards walikuwa na roho mbaya kinoma.
Ila yule mama MUNGU ampe siku nyingi licha ya yote niliyopitia kwake ila yeye hakuhusika wanae ndio wanoko balaa.
 
Hakuna mzazi asiyependa watoto wake (kama na wewe una watoto now utajua ninachomaanisha) kama anajitambua,tatizo baadhi yetu utotoni tulidhani adhabu za wazazi ni kama hawatupendi kumbe walikuwa wanatuandaa tuwe tulivyo leo.

As for me,nimelelewa na single parent (baba alitangulia nikiwa 9 months) but sikumbuki sana ya utotoni ila hapa ukubwani naona mama tunavyoishi bado ananijali sana tena sana.
 
Nikikumbuka dingi alikua ananiamsha saa 11 -“asubui; kuna zoezi lake moja miguu juu kichwa chini kama nipo jeshini🔥 ……….alfu pembeni yupo na mkanda.ole wako ushusheishushe miguu umeisha😁
 
Sawa mpwa, pole kwa misukosuko ya mabinamu. Asante kwa kushare!
 
Hakuna mzazi asiyependa watoto wake (kama na wewe una watoto now utajua ninachomaanisha) kama anajitambua,tatizo baadhi yetu utotoni tulidhani adhabu za wazazi ni kama hawatupendi kumbe walikuwa wanatuandaa tuwe tulivyo leo.

As for me,nimelelewa na single parent (baba alitangulia nikiwa 9 months) but sikumbuki sana ya utotoni ila hapa ukubwani naona mama tunavyoishi bado ananijali sana tena sana.
Asante kwa kumalizia "Kama anajitambua".
Pole kwa kuondokewa na baba!

Nafikiri adhabu zikiwa balanced na upendo siyo kitu kibaya, tatizo linakuja pale mzazi anapokua mkali kupitiliza mpaka nyumbani panakua siyo sehemu ambapo mtoto anajisikia salama.
 
Nikikumbuka dingi alikua ananiamsha saa 11 -“asubui; kuna zoezi lake moja miguu juu kichwa chini kama nipo jeshini🔥 ……….alfu pembeni yupo na mkanda.ole wako ushusheishushe miguu umeisha😁
Hiyo ilikua adhabu ukikosea au kila siku?
 
Ha haaa may be.
Ninae dada lakini sidhani kama yupo humu jf.
Haa haa, mambo yasije kuwa mengi, hata mimi sidhani kabisa kama yupo humu 😆 😆 😂
Acha tuendelee kujidai na ID zetu tu.
 
Dingi alikuwa mkuda lakini cha ajabu mimi na yeye tulikuwa poa sana. Huwezi amini alikuwa anakuja chuo na shule kila mara tunapiga stori na kuongea umbeya tuuu.
 
Nilifurahia malezi yao wote, kila mmoja alikuwa na mazuri yake kwa namna yake, nashukuru kwa hilo. In the later stages I took care of my dad, ndipo nikajua maana ya kuwa mwanaume, maana ya baba na mama kushirikiana kwenye malezi, nathamini sana mchango wa baba na mama kwenye malezi.

Wale mliokosa malezi ya upande mmoja sio kosa lenu ila kuna kitu kikubwa mlinyimwa. Msifanye hilo kosa kwa watoto wenu.
 
Back
Top Bottom