Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mpwa, tuzungumzie basi mauntie tulikuleaje?u
unfortunately nimekulia kwa Aunt 🙄
Utapeli tu huo. Indeep ili iweje?! Haya malezi ya 'mapenzi Yale indeep' kwa watoto ni gani?Tatizo unawaza kukojoa tu,unajua hisia wewe,yaan mapenzi Yale indeep...
Ndivyo tunavyowapenda wanetu...
Yaan zile hisia za ndani kabisa...aisee,sikia tu..watoto 😘😘😘
Tokea mdogo nimekulia kwa aunt vitimbi visirani vingi kutoka kwake lakini baadae alibadilika na nikamzoea.Haya mpwa, tuzungumzie basi mauntie tulikuleaje?
Sawa mkuuUtapeli tu huo. Indeep ili iweje?! Haya malezi ya 'mapenzi Yale indeep' kwa watoto ni gani?
Sawa mpwa, pole kwa misukosuko ya mabinamu. Asante kwa kushare!Tokea mdogo nimekulia kwa aunt vitimbi visirani vingi kutoka kwake lakini baadae alibadilika na nikamzoea.
Aunt ni mtu mwenye upendo sana sana yani sana afu kanifundisha kujituma na kujitegemea, anakwambia yeye kwake msosi ni mavi hawezi kumnyima mtu msosi pale nilikua naishi poa sana narudi mda naotaka. Lakini wale wanae doh! those bastards walikuwa na roho mbaya kinoma.
Ila yule mama MUNGU ampe siku nyingi licha ya yote niliyopitia kwake ila yeye hakuhusika wanae ndio wanoko balaa.
Asante kwa kumalizia "Kama anajitambua".Hakuna mzazi asiyependa watoto wake (kama na wewe una watoto now utajua ninachomaanisha) kama anajitambua,tatizo baadhi yetu utotoni tulidhani adhabu za wazazi ni kama hawatupendi kumbe walikuwa wanatuandaa tuwe tulivyo leo.
As for me,nimelelewa na single parent (baba alitangulia nikiwa 9 months) but sikumbuki sana ya utotoni ila hapa ukubwani naona mama tunavyoishi bado ananijali sana tena sana.
Hiyo ilikua adhabu ukikosea au kila siku?Nikikumbuka dingi alikua ananiamsha saa 11 -“asubui; kuna zoezi lake moja miguu juu kichwa chini kama nipo jeshini🔥 ……….alfu pembeni yupo na mkanda.ole wako ushusheishushe miguu umeisha😁
Ha haaa may be.Inawezekana you are my lost baby sister, my childhood was identical 😂 😂 😂
Haa haa, mambo yasije kuwa mengi, hata mimi sidhani kabisa kama yupo humu 😆 😆 😂Ha haaa may be.
Ninae dada lakini sidhani kama yupo humu jf.
Narudi si Muda my dyadyaaa .. Ngoja nimalizane na Maswala ya Simba na Yanga huku! Nilikula hela ya uganga na Mechi haijachezwa ... Watu wanataka hela yao 😂Ningependa kusikia kutoka kwenu Nomadix , makutupora , Anastasia21 , realMamy , Demi , Intelligent businessman , min -me , mshamba_hachekwi
Pendaelli , siwezi kukuangusha kwenye daily maswali 😂