Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Wala haina haja ya kumtorosha kama ni mtu mzima anasepa tuMwambie jamaa akutoroshe akupangie sehemu ubebe mimba yake na ugome kabisa kurudi kwenu ikwezekana ubadilishe na namba zako za simu.
Baada ya muda wazazi wako watapata uchungu wa uzazi watakuja kukuomba msamaha na kurudisha mahusiano na wewe.
Daah wazee walizinguaa sanaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nina rafiki yangu alikwenda kuoa wakataka 2mil,jamaa akajivuta mpaka 1.5 lakini wakakataa kabisa wao wanataka 2m.
Jamaa yangu alichofanya akalipa 1.5ml,harafu 500k akawaeleza siku ya kufunga ndoa asubuhi watamalizia,akijua kwamba ikifika siku hiyo wale wazee atawaambia hana hela hivyo na kufanya ndoa ifungwe kwa ile 1.5ml.
Ilipofika siku ya harusi ila kitu kimeandaliwa wale wazee cha kwanza wakata pesa,ndio ndoa ifungwe kama haina ndoa haifungwi,ikabidi watu wachangishane fedha ilipwe ili ndoa ifungwe.
Baada ya tukio la ndoa kuisha,yule jamaa aliwanyoosha wale wazazi hata wakiomba buku jamaa anawajibu nalipa deni la kai tano [emoji1] [emoji1787] [emoji23] maana alikopa kwa riba.
Wazazi kama hao baada ya siku kadhaa wanaomba hela za kulimia,Shenzi kabisa
Nina rafiki yangu alikwenda kuoa wakataka 2mil,jamaa akajivuta mpaka 1.5 lakini wakakataa kabisa wao wanataka 2m.
Jamaa yangu alichofanya akalipa 1.5ml,harafu 500k akawaeleza siku ya kufunga ndoa asubuhi watamalizia,akijua kwamba ikifika siku hiyo wale wazee atawaambia hana hela hivyo na kufanya ndoa ifungwe kwa ile 1.5ml.
Ilipofika siku ya harusi ila kitu kimeandaliwa wale wazee cha kwanza wakata pesa,ndio ndoa ifungwe kama haina ndoa haifungwi,ikabidi watu wachangishane fedha ilipwe ili ndoa ifungwe.
Baada ya tukio la ndoa kuisha,yule jamaa aliwanyoosha wale wazazi hata wakiomba buku jamaa anawajibu nalipa deni la kai tano [emoji1] [emoji1787] [emoji23] maana alikopa kwa riba.
Wazazi kama hao baada ya siku kadhaa wanaomba hela za kulimia,Shenzi kabisa
Pole sana kwa yote yaliyokusibu.Habari zenu wana JF,
Bila kuwachosha naenda moja kwa moja kwenye point. Nilikuwa na mchumba wangu tumejuana kwa muda wa mwaka mmoja na nusu mpaka sasa. Kwa hiyo mwaka huu huyo kaka nilimwambia aje home kujitambulisha, akasema haina shida.
Niliwataarifu wazazi wangu tarehe ambayo aliniambia anakuja wakasema aje kwetu.
Kama kawaida huyo kaka alikuja na mshenga wake pamoja na mjomba wake. Baba yangu alialika wenzake kama 6 hivi ili kujadiliana mahari. Kwa kweli ilikuwa tafrani, kwasababu baba yangu mzazi alishauriana na wenzake mahali iwe 10.5M kitu ambacho kilinishangaza sana.
Mjomba wake akasema hiyo hela hawana kwani hawanunui kiwanja. Baadae mjomba akasema wao wanaweza toa 2.5M baba akasema iongezeke japo 3M kwa shingo upande, kwamba hataki mahari ndogo akidai watakuja wengine.
Jioni yake akaniita mimi na mama akaanza kunifokea. Akaniambia mimi namdhalilisha kuleta mtu masikini na haeleweki kwa hiyo niachane naye, na nisipoachana naye mimi nitakuwa siyo mtoto wake na nikikubali kuolewa naye nisije kukanyaga kwake mpaka kaburi lake nisije kulisogelea.
Hakuishia hapo akaanza kunilinganisha na kabati ambalo anadai limenizidi, kwamba yeye alilinunua kwa bei kubwa kuliko mahali yangu. Nililia sana maana hata mama yangu alikuwa upande wa baba kwa hiyo sikuwa na support yoyote.
Aibu naipata mimi mtaani, naogopa hata kutoka kwenda sehemu kwa ajili ya wazazi wangu kunisambazia doa kubwa.
Naombeni ushauri katika huu wakati mgumu, kushauriwa kumuacha mtu uliyependana naye mkaendana siyo kitu rahisi. Japo huyo kaka hajaonesha dalili zozote za kuniacha, anawasiliana na mimi kama kawaida.
Ahsanteni sana. Napitia maoni yenu, wote nawakaribisha.