Huwezi kuwajua watu wako wa karibu lakini kuna watu wa karibu wana uwezo mkubwa kuwasoma watu wako wengine wa karibu,
Mzazi ana uwezo mkubwa wa kumtambua rafiki wa kweli
Watoto wana kipawa maalum cha kuweza kugundua kirahisi ndugu mnafki
Marafiki zako wana jicho makini kuweza kujua mpenzi wako anakufaa au lah hasa mkiwa uchumbani.
Ndugu zako walioweza kuishi na watoto wako wanaweza kuwajua vizuri kukuzidi.