Wazazi wanaoshangaa ama kukataa kuamini watoto wao kuanza mapenzi chini ya miaka 18 huwa wanajifanya hawajui ukweli au kudhani umri huo bado mtoto?

Ki makuzi na malezi miaka 18 si mtoto, huyo ni mtu mzima mwenye uwezo wa kubeba majukumu ya kuwa na familia yake. Ni siasa tu ndiyo imepanga miaka hiyo kuwa ni mtoto. Kama yuko shule huyo ni mwanafunzi mtu mzima
 
Aisee 😃😃😃,, kwahiyo nini kifanyike 😌
 
Bado inaonekana una uoga fulani. Umetumia maneno "kuliwa mbele, kuliwa nyuma; badala ya kusema " mwanaume ataingiza uume wake kwenye uke wa mwanao na siyo mkundun.ni.

Wazazi wengi sana huzungumza kwa mafumbo na kuwaacha watoto njia panda
 
Swadapta Mkuu, mimi nakwepa ban za mod ya jei efu hawana dogo hao 😂😂
 
Ulimwambia Baba na Mama yako kuwa unashiriki ngono tangu uingie shule ya upili? Kama jibu ni hapana, unategemea watajua aje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…