Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Chief haieleweki bhn 😂 tubaki ktk altale tuUtaelewa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chief haieleweki bhn 😂 tubaki ktk altale tuUtaelewa tu
Hamnaga kitu kama iyo iyo data ikizima inamaa hakuna kinachoweza fanya kaziWanajizima data tu,hamna namna
Hamnaga kitu kama iyo iyo data ikizima inamaa hakuna kinachoweza fanya kazi😂😂Wanajizima data tu,hamna namna
😎😎Hata hapa watu wangekuwa honest ungeshangaa, wengi walianza wakiwa 13-17, hilo lipo wazi sana.
Ndio hujui chochote bado..suala sio kutanua na kuingiliana...ni vitu vingi zaidiMama angu anajua mimi sijui chochote kuhusu wachumba[emoji23][emoji174]na 22 yrs yangu!
😎😎Ndio hujui chochote bado..suala sio kutanua na kuingiliana...ni vitu vingi zaidi
Wachumba au madanga!! Mchumba ni yule aliyeleta barua/posa kwa wazazi, wengine ni madanga(clients) waasherati wenza tu,Mama angu anajua mimi sijui chochote kuhusu wachumba😂💔na 22 yrs yangu!
Huu ushaur upuuzwe, kama wewe unaitwa baba nawahurumia watoto wako hasa wakikeWazazi wengi wanajidanganya sana juu ya uelewa wa watoto wao. Binafsi huwa namshangaa mtu anayeshangaa watoto wa 15 kujamiiana, huwa najiuliza huyu kakulia wapi!!?, mbona tangu sisi tunakuwa ipo hivo.
Nadhani wazazi waseme sana na wanao wawafundishe vipi ni vitu asilia na vipi sio asilia.
Mfundishe.mwanao wa kiume kuwa mwanaume anakuwa na mpenzi mwanamke na pakula ni mbele tu. Ivyo ivyo kwa mtoto wa kike afundishwe kuwa mpenzi ni mwanaume na pakuinguliwa na uyo mwanaume ni mbele tu.
Kwa mtindo huo tutaokoa kizazi