Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Mimi pia natafuta mwanaume jamani..Alie muisilamu na sio muisilamu jina..YAAANI HALI YA KUTAKA KUWA na mwenza..naitamani Sana kwani sitaki kuzini..na NAPATA Hali ya kutamani mwanaume Yaaani kudu..
Nateseka kwakweli.
Mwaka uu auishi unaolewa.