Wazazi wawasaidie watoto wao wa kike kupata wachumba (mume)

Du!
Sasa mkuu kunyanduliwa,anyanduliwe mwingine,uchungu upate wewe!
 
Tatizo na wanaume nao wamebaki wachache.

Siku hizi kuna takataka ambazo kutwa ni kusugua kucha, kuscrub uso kwa malimao, kupiga picha lunch na kuuuzia sura instagram kabla kula.

Baada ya miaka 10 mbele sielewi kitakachofuata.
Yaani mkuu, tunazidi kupungua kila iitwayo leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…