Wazazi wawasaidie watoto wao wa kike kupata wachumba (mume)

Wazazi wawasaidie watoto wao wa kike kupata wachumba (mume)

Mtu akiwa anakula unga...baadae akaacha...akaamua kuwa usia wengine wasile unga...haibadilishi Kwamba kashawai.kula unga...Lilo la muhimu nikwamba Kaachana nahiyo Tabia..

.ndo Maana nawewe nakusihi ACHANA na huu uchafu . .TANGU uanze kufanya umekusaidia Nini...zaidi ya kukuweka mbali na mUumba wako...

ZINAAA kwa mwanamke Ni mbaya sana..kuliko.hata mwanaume.

Inatufanya tuonekane vituko na Watu wasio na Maadili...

Ukiwa na sikio utasikia...Ila Kama unataka kupingana na ukweli.endelea.mama
Aisee,naona mmeamua kutoleana uvivu.
 
Kwa hiyo mnakuwa na usiku mrefu saana wa kupumzika, siyo?

Sasa hudhani baada ya saa 1 ndiyo muda mzuri wa wewe kukubali mtongozo wangu mkuu?
Ungemfata Pm angekuona kuwa uko serious,angekukubalia.
 
Sasa Wewe Tutty umefika.hatua...unachakatwa na wanaume alafu.unawakinai...yaaani UNATOMBWA asubuhi usiku umekinai..unataka mwingine...Sasa utatombwa na wangapi..na utapata Faida gani..

Ukiambiwa kuhusu kuachana na huo.uchafu na kutulizana na kufanya ibada..unakereka..nakutoa povu..Tena nlikfuta pm.kistaarabu.

Sasa basi ENDELEA KUTOMBWA HOVYO.... naona Hilo ndo linalokupa furaha.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Heheiyaaa!!! This is jf bwana
 
IMG_6476.JPG
 
Mimi pia natafuta mwanaume jamani..Alie muisilamu na sio muisilamu jina..YAAANI HALI YA KUTAKA KUWA na mwenza..naitamani Sana kwani sitaki kuzini..na NAPATA Hali ya kutamani mwanaume Yaaani kudu..

Nateseka kwakweli.
 
Njoo pm
 
Duh! Hii Hali ya kuwaongelea kina Dada juu ya swala la Ndoa sijui kwann limeshika Kasi sana Ila mi nnavyoelewa isingekua social perspective kuchangia kwa kiasi kikubwa kumbana mwanamke na ndoa au watoto sidhani Kama wangekua wanahangaika hata na Sisi wanaume.. Wanaume baadhi tuache insecurities, hautaweza kupendwa na wadada wote.. sio kila utakae mtongoza Ni lazima akukubalie.. mnawaonea tu Mabinti zetu zaeni wa kwenu muone uchungu..
Ulimwengu mpya utaanza na mwanamke.. lakini zaidi unaanzishwa na Jinsi Mwanaume atakavyombadili Mwanamke.. Ni sawa na kusafisha dodoki ili likusafishe mwilini.. tukiwajenga vizuri na kuishi nao kwa upendo Hawa watu sio wabaya kiivyo..
Mkuu kunywa soda ntalipa,watu wanaongelea mabinti kama bidhaa sokoni,hivi ni mwanamke tu anataka ndoa.

Wanaume ndoa ni jambo jema aliloumba Mungu inatakiwa ije yenyewe hivi wewe mtoa mada binti yako utamzungumzia hivi.
 
Mimi pia natafuta mwanaume jamani..Alie muisilamu na sio muisilamu jina..YAAANI HALI YA KUTAKA KUWA na mwenza..naitamani Sana kwani sitaki kuzini..na NAPATA Hali ya kutamani mwanaume Yaaani kudu..

Nateseka kwakweli.
Utapata tu Kama tabia yako, vaa yako ni nzuri

Na unawaeshimu wakubwa kwa wadogo
 
Back
Top Bottom