sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,280
- 7,930
Sasa ww mwenyewe mlevi , mungu hua ni fundi aisee, utampata Wa type yako aisee, ukiwa mtu Wa bar mume wako utakutana nae huko , mazingira unayojiweka basi ujue hata mwenza wako utampata kwenye mazingira hayoUlitaka nitafute mume niseme natafuta mume ananuae makahaba na kushinda baaaa na anaebaka watoto au ulitakaje...
Wewe ukitafuta mke utatafuta wa Aina hiyo...
Kweli.wewe nawe hamnazo