Wazazi wawasaidie watoto wao wa kike kupata wachumba (mume)

Wazazi wawasaidie watoto wao wa kike kupata wachumba (mume)

Sasa papuchi umepewa ya nini? Lazma ukazwe ili mtu akifika bei akuchukue jumla..Sasa we uchumba utauendesha vipi bila kumbwato?

Hata ingekuwa mie tukiwa kwenye mahusiano lazma nikutie mikasi. Kama unahisi idea ya kuficha uchi ina work sikuhizi endelea kula ugali wa baba na mama apo.
Jamaniii๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…
 
Punguza ukali wa maneno bwn๐Ÿ˜ƒ
Tatizo huyu mtt anataka kujifanya muslimina wakati file lake lipo jamvini wayback. Kashabugia hadi P2 zikamzingua halafu ananletea mikazo.๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Eti oh kubanduana dhambi, mi sio wa hivyo! Nyambafff!!!

Michezo ya kawaid tu, tusiifanye kuwa ishu sana wakati kuna watu keko wameacha makaburi uraiani.
 
Mimi pia natafuta mwanaume jamani..Alie muisilamu na sio muisilamu jina..YAAANI HALI YA KUTAKA KUWA na mwenza..naitamani Sana kwani sitaki kuzini..na NAPATA Hali ya kutamani mwanaume Yaaani kudu..

Nateseka kwakweli.
Sawa pole nipo
 
Mimi pia natafuta mwanaume jamani..Alie muisilamu na sio muisilamu jina..YAAANI HALI YA KUTAKA KUWA na mwenza..naitamani Sana kwani sitaki kuzini..na NAPATA Hali ya kutamani mwanaume Yaaani kudu..

Nateseka kwakweli.
Madam, yaani unavoteseka ni kama mimi navoteseka hadi nikaandika ule uzi kuhusu sex worker.

Mimi ningekuwa nimeoa ila nilikosea sana kumpenda na kumwamini Binti fulani, at least angekuwa ana moyo kama wako ningekuwa nimetulia na tabia zangu za Usiku zingeendana na za mchana
 
...Mimi si mtakatifu Mkuu..ila papuchi yangu Sikupi...kwakweli
Yanazungumzika hayo, mbona unataka kukaza ubongo mrembo? Mie sina lengo baya kama nilivyotangulia kukueleza. Jiko ndio kitu ambacho kwa sasa nakosa na wewe unaonesha kuwa na uhitaji sawa na wangu. Kwanini tusiungane kutengeneza kitu ambacho dunia na mbingu zitafurahia mama. Wacha uoga tafadhali. Ni jambo lenye heri.
 
Back
Top Bottom