Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,343
- 10,799
Kuumizwa kupo...Sasa Kama nikiumizwa na mmoja nikaamua kugawa papuchi KILA mtu..ntakuwa namfaidisha Nani..Madam, yaani unavoteseka ni kama mimi navoteseka hadi nikaandika ule uzi kuhusu sex worker.
Mimi ningekuwa nimeoa ila nilikosea sana kumpenda na kumwamini Binti fulani, at least angekuwa ana moyo kama wako ningekuwa nimetulia na tabia zangu za Usiku zingeendana na za mchana
Kukosewa na mwanamke mmoja...haikupi Wewe go ahead ya kuchkata papuchi Tena ukinunua huku na huku na kule.
Amini Kwamba ukiendelea hivyo hao wahuko ndio utakao ishi nao ...Kwasababu huko ndo ulikoconcentrate ...huangalii kwengine.