😂😂😂Kwa kizazi hiki cha 2000?kila kitu wanajua wao,wazazi hatutaki lawama.😁wewe tafuta jini lako ukapambane nalo.
Kwakuwa nyinyi ni wengi kuliko sisiKwa nini baadhi ya jinsia Me mnadhani Wanawake ndio wahitaji wa ndoa sana kuliko nyinyi kama kwamba ndoa ni Uhai
Wachumba wapo.. Wanpigwa vizinga hawapokelewi simu, mara wanazuiwa kufatilia mambo y wapenzi wao!! Na wao HAWAOIKweli kabisa…… wachumba wamekuwa wagumu kupatikana jamani
🤣🤣🤣🏃♀️Kwa kizazi hiki cha 2000?kila kitu wanajua wao,wazazi hatutaki lawama.😁wewe tafuta jini lako ukapambane nalo.
Wachumba wapo.. Wanpigwa vizinga hawapokelewi simu, mara wanazuiwa kufatilia mambo y wapenzi wao!! Na wao HAWAOI
Ndoa kwa mwanamke ni muhimu mno dada yangu, acha tu kufikirika namna unayo fikiri bali muombe Mungu ujaliwe kuwa kwenye ndoa.Kwa nini baadhi ya jinsia Me mnadhani Wanawake ndio wahitaji wa ndoa sana kuliko nyinyi kama kwamba ndoa ni Uhai
Katika Uislamu ndoa ni muhimu jinsia zote unaposema Mwanaume anaweza kuishi bila ndoa katika kipindi cha Maisha yake yote bila wasiwasi una nishangaza hakuna kitu kama hicho eti asili inavyotaka ni wapi Mungu alisema Mwanamke lazima aolewe ila Mwanaume ubachera Ferever.Mkuu mimi nimeolewa ila sito washangaa wasio olewa.Ndoa kwa mwanamke ni muhimu mno dada yangu, acha tu kufikirika namna unayo fikiri bali muombe Mungu ujaliwe kuwa kwenye ndoa.
Mwanaume anaweza kuishi bila ya ndoa kwa kipindi cha maisha yake yote pasipo shaka lakini hali hiyo ni tofauti kwa mwanamke, na hii sio jambo la hiari bali asili ndivyo inavyotaka au tuseme alietufanya sisi tuwepo ndie alie weka hilo pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzo 3:16-17.Kwa nini baadhi ya jinsia Me mnadhani Wanawake ndio wahitaji wa ndoa sana kuliko nyinyi kama kwamba ndoa ni Uhai
Nakataaa, wanawake wanaweza kuishi bila ndoa, wanaume hawawezi( serial killers watajaa mitaani)Ndoa kwa mwanamke ni muhimu mno dada yangu, acha tu kufikirika namna unayo fikiri bali muombe Mungu ujaliwe kuwa kwenye ndoa.
Mwanaume anaweza kuishi bila ya ndoa kwa kipindi cha maisha yake yote pasipo shaka lakini hali hiyo ni tofauti kwa mwanamke, na hii sio jambo la hiari bali asili ndivyo inavyotaka au tuseme alietufanya sisi tuwepo ndie alie weka hilo pia.
Sent using Jamii Forums mobile app