Wazazi wekeni television chumbani kwenu binafsi

Wazazi wekeni television chumbani kwenu binafsi

Ni changamoto sana ingawa I don't think kuweka Tv chumbani inasaidia sana but inaweza kuleta effects nyingine.

Binafsi nadhan wazazi watengeneze self desciplice and authority ndani ya familia Ikiwemo kuwaelekeza other family members ni muda Gani wa kuangalia tv na muda Gani siyo in a positive way.

Hapa mabavu au ubinafsi hauhitajiki hata kidogo kwenye kuwaelekeza. Jifunze positive parenting utaweza.

Ni vyema mtu kuangalia mbali sana, Je,baada ya kuhamishia Tv chumbani, na huko chumbani baba na mama mkajikuta interest ya vipindi inatofautiana, mtatengeneza partition nyingine ndani ya chumba Ili Kila mtu awe anaangalia kivyake ?

Matokeo yake ni ni haswa? Is it sustainable kwa interest ya familia?
 
Kwanza watoto zao katuni tu na mambo ya dini hizo tamthilia za kishenzi tu wanafundishwa mambo ya kipuuzi wakati umri wao mdogo ...mm wangu wameshazoea huwezi kuta wanahangaika na tamthilia hata siku moja wao ni katuni tu na nyimbo za dini ..maana hata hizi nyimbo za kina diomond wamejaza matusi tu ...
 
Tivii mbili kwa uchumi upi huo?

By the way kwa nyumba za kisasa, sebuleni si mahali pa kuweka tivii
 
Kipindi hicho cha kuna housesegelo alinakaribisha kwa mwajiri wake alikuwa na mtv smart mkubwa huo kipindi hicho zinatoka nilikuwa nachek movie ya edge of tomorrow ya tom cruise huku yeye akinikaangia mayai

Nilikuwa naupigia mahesabu nauchorea Raman baadae mi na wanangu tutapita nao vipi
 
Kwanza watoto zao katuni tu na mambo ya dini hizo tamthilia za kishenzi tu wanafundishwa mambo ya kipuuzi wakati umri wao mdogo ...mm wangu wameshazoea huwezi kuta wanahangaika na tamthilia hata siku moja wao ni katuni tu na nyimbo za dini ..maana hata hizi nyimbo za kina diomond wamejaza matusi tu ...
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom