Ni changamoto sana ingawa I don't think kuweka Tv chumbani inasaidia sana but inaweza kuleta effects nyingine.
Binafsi nadhan wazazi watengeneze self desciplice and authority ndani ya familia Ikiwemo kuwaelekeza other family members ni muda Gani wa kuangalia tv na muda Gani siyo in a positive way.
Hapa mabavu au ubinafsi hauhitajiki hata kidogo kwenye kuwaelekeza. Jifunze positive parenting utaweza.
Ni vyema mtu kuangalia mbali sana, Je,baada ya kuhamishia Tv chumbani, na huko chumbani baba na mama mkajikuta interest ya vipindi inatofautiana, mtatengeneza partition nyingine ndani ya chumba Ili Kila mtu awe anaangalia kivyake ?
Matokeo yake ni ni haswa? Is it sustainable kwa interest ya familia?