Cha kushangaza ndio makabila yanayoongoza kwa kuolewa Tz hilo likubaliwe au likataliwe...most of them ndoa zao zinakuaga na maendeleo kupita kiasi hata katika nyanja kubwa na sekta za muhimu kitaifa lazima ukutane na hizo chata zimejaa ukianzia ma lecturers vyuoni utasikia kina Mwaseba,Urassa na kina Rugemalila kibao! Nenda mahospitalini sasa kina Doctor Rwegasira,Tarimo na Lusekelo wamejaza robo tatu ya mahospitali
Angalia kwa mawakili mahiri na mahakimu na wanasheria matata lazima utawakuta kina Shirima,Mwaipopo na Mwombeki wametanda
Rudi maofisini usipokutana na kina Urio,Lusekelo na Rutashobya basi hiyo ofisi yenu ichunguze kwa makini.
Piga jicho upande wa ma Engineer usipokutana na Eng.Muganyizi,Tesha na Lusajo basi ujue kitengo hakijawa fresh
Njoo kwenye nyanja za wanauchumi usipomkuta Rugakingira,Woiso na Mwaisengela basi hapo team itakua haijabalance.
Inshort hawa watu tukiacha na bla! bla! Wako vizuri upstairs na mabinti zao hua ni warembo pia kwa namna za tofauti kila mmoja kwa muonekano wake...inshort km umetokea kabila weak na wewe ukawa weak minded kweli usijisumbue kuwaoa mabinti kutoka haya makabila utadhalilika brother!
Ila km uko poa kiakili za maisha basi oa hutajuta aisee! Maana kuna vijikabila vidogo dogo vina mapicha picha hawa wakasome halafu havina mbele wala nyuma.