Wazazi wengi wa Mtwara wana tabia ya kubadilisha majina ya watoto kisa talaka

Wazazi wengi wa Mtwara wana tabia ya kubadilisha majina ya watoto kisa talaka

Wanajielewa, kitanda hakizai haramu ndo maana mtoto ni wa mama.
Na mjukuu halali ni mtoto wa mwanao halali wa kike!

Mjukuu wako wa mtoto wako halali wa kiume yaweza akawa si mjukuu wako halali kwa uwezekano kuwa mimba hiyo kubambikiziwa mwanao huyo wa kiume.
 
Weeeeh bhana eeeeh sasa unabadilisha jina hili iweje? na uliyezaa nae mlifunga ndoa,

Kuhusu mtoto ni mali ujombani mie najua kwa wale waliozaliwa na mababa wasioeleweka hata ubini wanatumia wa ujombani,

Coz nina watu wa karibu waliozaliwa kwa masingo maza wanatumia ubini wa kwa mama, hiyo inatumika sana huku kusini.
Siyo kusini tu %80 ya makabila yote ya Tz wanatumia utaratibu huo.
 
Back
Top Bottom