Weeeeh bhana eeeeh sasa unabadilisha jina hili iweje? na uliyezaa nae mlifunga ndoa,
Kuhusu mtoto ni mali ujombani mie najua kwa wale waliozaliwa na mababa wasioeleweka hata ubini wanatumia wa ujombani,
Coz nina watu wa karibu waliozaliwa kwa masingo maza wanatumia ubini wa kwa mama, hiyo inatumika sana huku kusini.