Wazazi wenye Wachezaji hawa wafuatao wa Yanga SC waonyeni wasikubali kubebeshwa ' Hirizi ' mtawakosa

UNAHANGAIKA NA YANGA KAMA MNAPATA MGAOO BAADA YA MECHI KHA..ZILEMECHII N MAPEPO YANASHINDAN WAACHENIWAFU WAZIKE WAFUWAOOO
 
Acha upuuzi we Gentamycine. Inaelekea una povu kichwani badala ya ubongo. Mbona muda wote unaongelea ushirikina tu badala ya mikakati ya kitaalamu ndani ya soka Aah it is too much comrade badili uelekeo wa post zako.
 
Kesho mabucha yote ya kuuza nyama itapatikana nyama ya simba, mshale mmoja utatosha kabisa kumuangamiza simba koko wa kufugwa
 
Mpira utachezwa uwanjani, wewe unabaki kuhangaika au ndio timu yako itapigwa 7 umeanza kuweweseka, subir dk90 zitaamua tu
 
Na kwenye mapambio huwa wanalia kabisa.
 
Cha kushangaza ni team hii hii imetoka kutolewa kombe la shirikisho barani africa dhidi ya Wamisri.


Kwa akili finyu za mleta mada mpira wa bongo hauwezi kukua kama si kuendelea.
 
Hehehe, hii mechi hkn mbinu za mfaransa wala mrundi ,ni mbinu za mganga tu ,mechi ikiisha kocha wala asijisifu kuwa mbinu zake zimesaidia timu kushinda
 
Acha upuuzi we Gentamycine. Inaelekea una povu kichwani badala ya ubongo. Mbona muda wote unaongelea ushirikina tu badala ya mikakati ya kitaalamu ndani ya soka Aah it is too much comrade badili uelekeo wa post zako.
Kweli kabisa..

Aina za post kama hizi kwa kweli ndiyo zinazo katisha tamaa watu kwenda uwanjani..na aina ya watu ambao wanakatisha tamaa watu wasi shabikie soka la Tanzania..
 
Simba mnaanza kuwashwawashwa. Tulieni dawa itawaingia vizuri kesho.
 
Ndugu yako huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…