kumbe we mchoyo....lol
sasa mbona unanishauri nisiwe mchoyo na mimi?
What if unakutana na mtu ambaye polygamy ndio lifestyle?????????
bora afanyie huko huko akirudi nidhamu iwepo kuliko kuleta ndani tuwe wawili. Lol.
Ila ni ngumu kujua na kukubali kumshea mtu....binafsi siwezi maana nadhani ni mchoyo sana kwa kitu nnachokipenda!
Hunishindi mimi dear... yaani nikifikiria tu kua hata lile tendo muhimu ni kwa zamu ndo sielewi kabisa... sijui siku una mzuka alafu si zamu yako inakuaje??
i love your line of thot... Mimi pia... After all kuna asie fanya basi...lol.. Akiletaa wa pili utafikiri katulia kumbe yale yale kuongeza tu gharama..
Hunishindi mimi dear... yaani nikifikiria tu kua hata lile tendo muhimu ni kwa zamu ndo sielewi kabisa... sijui siku una mzuka alafu si zamu yako inakuaje??
inaonekana wanawake hawachukii kabisa polygamy
but mnachukia
1.gharama za kuongeza mke
2.kutokuheshimiwa na mke mdogo
3.kukosa haki zako kama mke mwenzio akiwa kwa mwenzio.....
Whatif kama mwanaume ataweza kuwa handle na hayo matatizo yasiwepo????????????

Thats my girl!!
Hata kama...mpaka mtu anakubali kuolewa maana yake anataka mtu wake mwenyewe wa kudumu...atakaempata muda wowote iwe kimawazo au kimwili na sio kuwekewa ratiba mlangoni!!
Hata kama...mpaka mtu anakubali kuolewa maana yake anataka mtu wake mwenyewe wa kudumu...atakaempata muda wowote iwe kimawazo au kimwili na sio kuwekewa ratiba mlangoni!!
Hunishindi mimi dear... yaani nikifikiria tu kua hata lile tendo muhimu ni kwa zamu ndo sielewi kabisa... sijui siku una mzuka alafu si zamu yako inakuaje??
hilo swali la mtego... Mimi my man has to remain my man... And that is period!!!
kuna jamaa mmoja mlinzi amepanga chumba kimoja halafu ana wake wawili.
Inapofikia zamu ya mwanamke yeyote kulala na mumewe, anamchukua mkewe wanaenda kulala lindoni.

Nafurahi bada ya mabishano yetu yote yale this is the second time we are in agreement... safi saana...
hata kama...mpaka mtu anakubali kuolewa maana yake anataka mtu wake mwenyewe wa kudumu...atakaempata muda wowote iwe kimawazo au kimwili na sio kuwekewa ratiba mlangoni!!