Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto gani?Mimi nawaambieni msije mkasema sikuwambia, kama kweli unajijua wewe ni mzazi mwenye kipato cha kawaida na watoto wako bado wanasoma tafadhali usije kufanya kosa, ukipeleka kura yako kwa JPM ndio utakua unamtengenezea maisha ya kutangatanga hivyo mtoto wako...
sijiui niambie weweUnazijua mila na desturi za ulaya alizokuja nazo.
Naona mmepoteana huko Lumumba na genge lenu la LB7Unazijua mila na desturi za ulaya alizokuja nazo.
Mkuu, japokuwa umetumia lugha kali lakini Tundu Lissu ni wakala wa watu weupe si mtu wa kumpa dhamana ya kuongoza nchi hii, Vinginevyo watanzania tuamue kuuza nchi yetu wenyewe kwa kumpa kura Tundu LissuAsiwadanganye! Huyu Lissu ni wakala wa kutetea na pupromoti ushoga, ulawiti na usagaji na mambo mengine machafu kama hayo chini ya kisingizio cha HAKI ZA BINADAMU. Hivyo nawashauri kama mnawapenda watoto wenu na kama ninyi watoto mnajipenda, ACHANENI NA LISSU na mawakala wake. Anzeni na Mungu na malizeni na Mungu katika hili.
naona Lumumba buku saba, mnapeana farajaMkuu, japokuwa umetumia lugha kali lakini Tundu Lissu ni wakala wa watu weupe si mtu wa kumpa dhamana ya kuongoza nchi hii, Vinginevyo watanzania tuamue kuuza nchi yetu wenyewe kwa kumpa kura Tundu Lissu
Nimetumia maneno aliyo kuwa akiyasema Lissu huko Ulaya na US alipokuwa akiwatumikia. Kwa kweli mimi nimem - quote kwani kwa weledi wangu siwezi kusema maneno kama hayo.Mkuu, japokuwa umetumia lugha kali lakini Tundu Lissu ni wakala wa watu weupe si mtu wa kumpa dhamana ya kuongoza nchi hii, Vinginevyo watanzania tuamue kuuza nchi yetu wenyewe kwa kumpa kura Tundu Lissu
Ikikupendeza karibu ndani, lakini jifunze kuwa mstaarabu kabla hujafanya maamuzi.naona Lumumba buku saba, mnapeana faraja
Wapo! Ila Serikali hii pamoja na zote zilizopita HAZIUNGI MKONO HOJA hizi za kishetani wala haiwezi kuwatambua eti wapewe haki zao kama huko Ulaya au US. Haiwezekani.nimekuuliza swali nijibu, sasa hivi Tz kuna ushoga au haupo?
Mkuu, na wewe hayo ni mawazo yako, ni lazima yaheshimiwe!!Idadi ya wahitimu ni kubwa kuliko matakwa ya ajira, hivi ni vitu vidogo sana kuvitambua haihitaji cheti, stashahada au shahada, Kila siku mnaelekezwa leteni hoja zenye changamoto mpewe kura, hakuna mtanzania anayeweza kukupigia kura kwa hoja Kama hizi. Wasomi wenyewe wanatambua kuwa number ya products ya vyuo ni kubwa kuliko mahitaji ya ajira.
Inasikitisha, mtu mwenye bland Kama Lissu kukubali kutumiwa na mabeberu, Tundu Lissu angekuwa chachu ya Maendeleo ya Tanzania na si kukubali kuiuza Tanzania.Nimetumia maneno aliyo kuwa akiyasema Lissu huko Ulaya na US alipokuwa akiwatumikia. Kwa kweli mimi nimem - quote kwani kwa weledi wangu siwezi kusema maneno kama hayo.
Nami pia ni mhanga wa jiwe. Yeye anaangalia wachina na kuwapa kazi. Hana hata muda wa kuwaza hivi vyuo wanafunzi wanaohitimu wanaenda wapi?.Kwakweli huyu mtu sio wa kechekea, nina wahitimu watatu wa degree hapa nyumbani wote wananiangalia tu.