Elpaul
JF-Expert Member
- Jan 19, 2018
- 922
- 692
Mkuu hiyo ndiyo hoja Sasa, Lakini Tatizo la ajira si kwa Tanzania pekee wala nchi yoyote inyoendelea, Tatizo hili lipo hata kwa mataifa yaliyoendelea, Maadam tuamue kubadili mifumo yetu ya Elimu kwa ujumla.Mkuu, na wewe hayo ni mawazo yako, ni lazima yaheshimiwe!!
Ni kweli serikali haiwezi kuwaajili wahitimu wote!!
Lakini, serikali ndio yenye wajibu wa kutengeneza ajira kwa wote, kwa namna mbalimbali!!
Mfano, serikali inaweza ikatengeneza mazingira mazuri kwa taasisi binafsi, na kuunda sheria maridhawa zitakazo tokeza ajira kwa wengi na kuwafanya wengi waajiriwe na hivyo kuifurahia nchi yao!!
Ni mawazo tu!!