Unazijua mila na desturi za ulaya alizokuja nazo.
Kuna chochote kinachoendelea ulaya na sehemu nyingine za dunia bado hukijui mpaka Lissu aje kukisema??
Kama ni ushoga na usagaji, mbona upo hapa nchini na hamjaukomesha? Watu wengine mna akili za kujua kuoga, kwenda chooni, kudeki nyumba na kusengenya tu! Mambo mengine ni makubwa kuliko uwezo wa akili zenu!!