Uchaguzi 2020 Wazazi wenzangu kama mnawatakia watoto wenu maisha mazuri mchagueni Lissu

Mkuu hiyo ndiyo hoja Sasa, Lakini Tatizo la ajira si kwa Tanzania pekee wala nchi yoyote inyoendelea, Tatizo hili lipo hata kwa mataifa yaliyoendelea, Maadam tuamue kubadili mifumo yetu ya Elimu kwa ujumla.
 
Umenena mkuu
 
Maendeleo ya vitu ndiyo yanatengeneza ajira!
Shule _ajira
Hosptali _ ajira
Barabara _ watu wanapita kwenda kuuza mazao yao
Train
Ndege
Umeme
Na vyote hivyo Kuna ufundi kwa watanzania unatumika
Huyo Lisu wako hata ajira ya kudumu hana!
Umelogwa???????
 
Mkuu, japokuwa umetumia lugha kali lakini Tundu Lissu ni wakala wa watu weupe si mtu wa kumpa dhamana ya kuongoza nchi hii, Vinginevyo watanzania tuamue kuuza nchi yetu wenyewe kwa kumpa kura Tundu Lissu
Huko ulaya kwa watu weupe mlisababisha nyie na risasi zenu aende. Mlitaka abaki bongo mumwue?
 
nI SUALA LA APPROACH ALIYOTUMIA ex-RC Makonda. Huitaji kuwasaka na kuwafanyia vitimbi, unachotakiwa kufanya ni kutoa elimu kwa jamii na siyo kuwapa KIBALI waendelee na UJINGA HUU kama anavyotetea huyo mpuuzi wenu kama alivyo elekezwa na wanaomlipa.
james delicious sini shoga kabisa na anajitangaza kwenye mitandao ya kijamii? Serikali imemchukulia hatua gani?
 
Maendeleo ya vitu ndiyo yanatengeneza ajira!
Shule _ajira
Hosptali _ ajira
Barabara _ watu wanapita kwenda kuuza mazao yao
Train
Ndege
Umeme
Na vyote hivyo Kuna ufundi kwa watanzania unatumika
Huyo Lisu wako hata ajira ya kudumu hana!
Umelogwa???????

vijijini kuna zahananati ambazo unakuta muhudumu ni mmoja tu,
hizo ajira zilizoletwa na vitu ziko wapi?
 
vijijini kuna zahananati ambazo unakuta muhudumu ni mmoja tu,
hizo ajira zilizoletwa na vitu ziko wapi?
Hiyo moja ndio AJIRA yenyewe! Lazima uwe na mahali pa kuanzia siyo kupinga pinga kila jitihada za Serikali, vinginevyo ni shida tu!
 
Kwani shoga akiliwa ww inakuuma nn. Dhana potofu tu. Ushoga kashindwa kuuzuia Yesu ataweza Magu. Magu yupo madarakani je watu hawaliwi mtaani.
 
Hii si hoja ni KIOJA na ni dalili za kutokuwa na hoja na uvumilivu na ukosefu wa weledi. You are a typical example of watukanaji humu JF na hamlitendei haki hili JUKWAA.
kwaiyo kukwambia ukweli nimekutukana?

Nimekutukanaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…