Unazijua mila na desturi za ulaya alizokuja nazo.
Unavyolipakapaka mafuta hili janga utadhani huelewi kwamba Lisu alisema hatawabugudhi. Na ndio hoja ya msingi tangu huko juu. Nilikuwa nawasoma tuuhujui ulisemalo au laa unajitoa ufahamu
kipindi makonda baada ya kuwasaka mashoga mbona serikali ilimruka?
Kwa maana ya wazi ni kwamba TAL na huyu mdau wake wataliacha liendelee ili wasipingane na haki za binadam. Yani ndio imekaa hivyo mkuu. Huyu TAL alinipoteza kama mdau wake ile siku aliyoongea alichokiongea. Alishindwa kuwa balozi wa ustaarabu wa kiafrika katika masuala ya uhusiano wa kijinsia. Huku kujikombakomba kwake kunanikera na maombi yangu ni abadilike aache ushenzinI SUALA LA APPROACH ALIYOTUMIA ex-RC Makonda. Huitaji kuwasaka na kuwafanyia vitimbi, unachotakiwa kufanya ni kutoa elimu kwa jamii na siyo kuwapa KIBALI waendelee na UJINGA HUU kama anavyotetea huyo mpuuzi wenu kama alivyo elekezwa na wanaomlipa.
Huyu Tundu anayesomesha watoto wake ubelgiji?Mimi nawaambieni msije mkasema sikuwambia, kama kweli unajijua wewe ni mzazi mwenye kipato cha kawaida na watoto wako bado wanasoma tafadhali usije kufanya kosa, ukipeleka kura yako kwa JPM ndio utakua unamtengenezea maisha ya kutangatanga hivyo mtoto wako.
Magufuli hana habari na kuajiri watoto wetu kama alivyofanya Kikwete.
Mimi nawaambieni tena huyu Rais wa sasa hana muda na maendeleo ya watu yeye anaangalia vitu tu, angalia sasa hivi vijana wetu wanavyosota mitaani, mitaani penyewe pagumu sana.
Vijana wetu wahitimu wa JKT sa hivi wako kitaa tu! Nawaambia kama kweli mnawapenda watoto wenu msifanye kosa, twende tukamchague Lissu.
acha mambo ya ushoga wwUnazijua mila na desturi za ulaya alizokuja nazo.
ZILTAN, Japhet Karibu kakuuliza swali tu. Weye unaibuka na maneno ya matusi! Ni nini hiki mbona nyie JF -Expert Members wa humu JF unaishushia hadhi hiyo nafasi yenu? Nendeni kwa hoja jamani ili muwe mfano kwa sisi wengine.acha mambo ya ushoga ww
Nenda kwanza Singida ukawaulize wazazi wenzio ikiwa hayo maisha bora kwa watoto wao walipata kwa kuchagua Mbeligiji mwenye asili ya KenyaMimi nawaambieni msije mkasema sikuwambia, kama kweli unajijua wewe ni mzazi mwenye kipato cha kawaida na watoto wako bado wanasoma tafadhali usije kufanya kosa, ukipeleka kura yako kwa JPM ndio utakua unamtengenezea maisha ya kutangatanga hivyo mtoto wako.
Magufuli hana habari na kuajiri watoto wetu kama alivyofanya Kikwete.
Mimi nawaambieni tena huyu Rais wa sasa hana muda na maendeleo ya watu yeye anaangalia vitu tu, angalia sasa hivi vijana wetu wanavyosota mitaani, mitaani penyewe pagumu sana.
Vijana wetu wahitimu wa JKT sa hivi wako kitaa tu! Nawaambia kama kweli mnawapenda watoto wenu msifanye kosa, twende tukamchague Lissu.
Mwananzengo;Mimi nawaambieni msije mkasema sikuwambia, kama kweli unajijua wewe ni mzazi mwenye kipato cha kawaida na watoto wako bado wanasoma tafadhali usije kufanya kosa, ukipeleka kura yako kwa JPM ndio utakua unamtengenezea maisha ya kutangatanga hivyo mtoto wako.