Mimi nilishawah katwa na ule upawa wa kupakulia mboga wa chuma kwenye goti kisa kiherehere cha kupambania wageni wasipewe na soda zetu .Nakumbuka nilivyokuwa mdogo, kuna watu walikuwa wanakuja pale nyumbani kusali na mama(walikuwa na kikundi flani hivi)
Sasa siku moja walikuja usiku tumepika wali nyama, walishtukiza tu sio kawaida yao
Wakati mama anawapakulia nikapeleka kiherehere changu huko jikoni nikaropoka 'sasa mboga itatosha kweli?'
Aisee klichofuata siwezi sahau. Hadi mwiko ulihusika....
mtindo wa malezi imabadilika sana...Wazazi wetu walikuwa hawaeleweki wanataka nini.
*Mgeni akifika halafu mtoto akawa anamuangalia, anapigwa.
*Akiwa anakwepa kumuangalia mgeni (anaangalia chini), anapigwa.
*Mgeni akitengewa chakula halafu mtoto akamuangalia wakati anakula, anapigwa.
*Mtoto akipigwa akalia, anapigwa.
*Na akipigwa asipolia, anapigwa.
Sasa sijui walitaka mtoto afenyeje?
Lkn hivi Sasa hawa akina junior, wanalia halafu mzazi anageuka kuwa mtumwa kumbembeleza.
๐ ๐คฃ Hatari sanaumekaa kiboya sebuleni ..unapigwa Bila hata sababu..
Jamani๐๐๐Mgeni akija ukamuomba Hela ,unapigwa
Mgeni akija usipo msalimia ,unapigwa
Ukipigwa ukawa haulii ,unapigwa maana unaonekana sugu [emoji23]
Chakula kikitengwa mezani ukaanza kunawa kabla ya wakubwa ...unapigwa
Mgeni akija ukaanza kumlilia uondoke nae ..Unapigwa
Chakula kikitengwa kuna bakuri la baba ,huwa ndio kuna mapaja na nyama nyingi ,ole wako ukaweke mkono huko ...kichapo mpaka baba mwenyewe akupe[emoji23]
Baba akija nyumbani akakuta umekaa kiboya sebuleni ..unapigwa Bila hata sababu..
Ukitumwa dukani ukachelewa ..fimbo ..
Kwenye kabati huwa kuna vyombo vya kutumia siku wageni wakija tu ,siku mama akikuta unatumia hizo sahani au vikombe wakati Hakuna mgeni ..utapigwa fimbo na ngumi juu ,usipokimbia shauri yako
Hawa watoto WA siku hizi wanapelekwa hadi Shule aiseee ...Sisi tunaenda Shule wenyewe na njia tunayopita asubuhi kuna mbwa hatari ,kama huna mbio imekula kwako..na Hakuna njia nyingine [emoji28]
Watoto wa 2000 kweli mlikua mna raha , unakosea unasemwa tu , bi nkubwa alishanirushia panga nikalikwepa likaenda kukata mgomba .Mama angu akiwa anakusema ukimjibu anasema una dharau, ukikaa Kimya anasema una kiburi., ukiondoka anasema unajifanya umekua..
Sijui hua anatakaga nifanye nini๐๐
Anakupenda huyo, yaan huambulii hata kofi?Mama angu akiwa anakusema ukimjibu anasema una dharau, ukikaa Kimya anasema una kiburi., ukiondoka anasema unajifanya umekua..
Sijui hua anatakaga nifanye nini๐๐
Hapo anakusema wakati mwiko ushakukatikia mguuni๐๐๐.. Ila wazazi hawa basi tu yani..Watoto wa 2000 kweli mlikua mna raha , unakosea unasemwa tu , bi nkubwa alishanirushia panga nikalikwepa likaenda kukata mgomba .
Haya ndio malezi yetu ya kiafrica , huku kwa wenzetu litoto lina waambia wazazi eti limeamua kuwa shoga na wazazi wanalichekea tu.Hapo anakusema wakati mwiko ushakukatikia mguuni๐๐๐.. Ila wazazi hawa basi tu yani..
Kuna malezi ndyo lakini wazazi wetu walizidi aisee๐Haya ndio malezi yetu ya kiafrica , huku kwa wenzetu litoto lina waambia wazazi eti limeamua kuwa shoga na wazazi wanalichekea tu.
waafrica bila hivyo ni hatari, ebu fikiria tu mimi nikiwa kadgo kabisa kwenye michezo ya kibaba na kimama ,namwekea pilipili kwa papuchi katoto ka kike ,ili nione itatokea nini ? Apo lazima upigwe kama punda .Kuna malezi ndyo lakini wazazi wetu walizidi aisee๐